electric ya 150 km per hour tu yet only 40 % of tanzanians have electricity...heheThe meaningful high speed rail roads we have in the region currently [emoji116]hizo nyingine ni njia za kupitishia mitungi ya chang'aaView attachment 2047299View attachment 2047300View attachment 2047301View attachment 2047302
Hizo zingine huoni ni wooden?Tanzania hakuna nguzo za zege! [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2047396
Wasi wasi wako ni nini mzee kanairo.? Huo mchongo hauna muda utaanza kuwatoa jashoelectric ya 150 km per hour tu yet only 40 % of tanzanians have electricity...hehe
Na wao waoneshe miradi inayofanywa na Wakenya kwa mikono yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya mambo bhana yanachekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] innovation .? Kenya.? [emoji23][emoji23][emoji23]
ICT kwa kweli mimi sio mwerevu wa hizo mambo
Social development ni kitu ambacho tumewaacha nyuma hamtuwezi huku kabisa coz hakuna social development bila kuwa na social services za kutosha.. kaa chini jitathmini, je nani mkali wao kwenye hizi mambo.
Human development/ individual development, huku ndio hamtuwezi kabisa, maskini wa mwisho tanzania huwa ni yule ambae ako na malnutrition while in Kenya ni yule ambae he/she suffering from starvation (them ain't afford food to eat) , yani hana chakula kabisa [emoji23][emoji23][emoji23].. lakini tukija kwa matajiri tz iko na namba kubwa ya matajiri ×3 ukilinganisha na kenya.. sasa sijui ni huma development gani unaizingumzia hapa
Quality education.? In Kenya.? Hii hii elimu inayozlisha vilaza wa kuangusha magorofa kila uchao.? Elimu inayozlisha viongozi wa ku sign bogas treat.? .. heb ona elimu ya tz [emoji116]View attachment 2047379View attachment 2047380View attachment 2047381View attachment 2047383View attachment 2047386View attachment 2047387
Hiyo miradi hapo imefanywa na watanzania wenyewe, hivyo ni vielelezo vya ubora wa elimu yetu, sijatumia maneno ila vitendo, elimu ni matokeo sio maneno. Kila siku blah blah, sijui nani kasema, sijui nani kaandika lahasha, ubora wa elimu nimatokeo
Ata umekuja mapema, haya leta hapa proof sasa tuone si storiesnajua nimechelewa.. ila ninachotaka kukuambia wew kweli ni boya.. na huna akili..
Tanzania miaka sijui zaid ya ngap saiz .. tunapima magar yakiwa kwenye hata mwendo
Kwahiyo mtu kutojua kirefu cha NMT inahusiana nn na education, Wakenya hamna akili.Non Motorized Transport. Yani pedestrians and cyclists. Tanzanian education. Pthoo
Ujinga ni pale mtu anapoandika insha refu bila content. Kijana wa Tandale, haya mambo si ya kutoa vijiweni mkipiga gumzo na vilaza wenzako kisha kuyaleta hapa. It's about using reliable evidence to prove your claims. Hebu niletee ranking yoyote inayoweka Tanzania mbele ya Kenya kwenye HDI for example. Mambo yote ambayo nimeswma ni vitu naweza dhibitisha kutumia evidence ila wewe unayotoa mk***ni. Si unaona ulivyo mjinga na desperate?Haya mambo bhana yanachekesha sana 😂😂😂😂 innovation .? Kenya.? 😂😂😂
ICT kwa kweli mimi sio mwerevu wa hizo mambo
Social development ni kitu ambacho tumewaacha nyuma hamtuwezi huku kabisa coz hakuna social development bila kuwa na social services za kutosha.. kaa chini jitathmini, je nani mkali wao kwenye hizi mambo.
Human development/ individual development, huku ndio hamtuwezi kabisa, maskini wa mwisho tanzania huwa ni yule ambae ako na malnutrition while in Kenya ni yule ambae he/she suffering from starvation (them ain't afford food to eat) , yani hana chakula kabisa 😂😂😂.. lakini tukija kwa matajiri tz iko na namba kubwa ya matajiri ×3 ukilinganisha na kenya.. sasa sijui ni huma development gani unaizingumzia hapa
Quality education.? In Kenya.? Hii hii elimu inayozlisha vilaza wa kuangusha magorofa kila uchao.? Elimu inayozlisha viongozi wa ku sign bogas treat.? .. heb ona elimu ya tz 👇View attachment 2047379View attachment 2047380View attachment 2047381View attachment 2047383View attachment 2047386View attachment 2047387
Hiyo miradi hapo imefanywa na watanzania wenyewe, hivyo ni vielelezo vya ubora wa elimu yetu, sijatumia maneno ila vitendo, elimu ni matokeo sio maneno. Kila siku blah blah, sijui nani kasema, sijui nani kaandika lahasha, ubora wa elimu nimatokeo
Kenya hakuna wooden?Hizo zingine huoni ni wooden?
Mtu kutojua basic things inaonyesha hajaelimika. Kama wewe vitu vingi basic huvijui. You're an intellectual dwarf.Kwahiyo mtu kutojua kirefu cha NMT inahusiana nn na education, Wakenya hamna akili.
Sindano imegonga mfupa [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujinga ni pale mtu anapoandika insha refu bila content. Kijana wa Tandale, haya mambo si ya kutoa vijiweni mkipiga gumzo na vilaza wenzako kisha kuyaleta hapa. It's about using reliable evidence to prove your claims. Hebu niletee ranking yoyote inayoweka Tanzania mbele ya Kenya kwenye HDI for example. Mambo yote ambayo nimeswma ni vitu naweza dhibitisha kutumia evidence ila wewe unayotoa mk***ni. Si unaona ulivyo mjinga na desperate?
Sasa mbona unakasirika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu kutojua basic things inaonyesha hajaelimika. Kama wewe vitu vingi basic huvijui. You're an intellectual dwarf.
Mimi nakuletea news report wewe unaniwekea tweet ya mto mmoja 😂😂
Hizo zingine huoni ni wooden?
Ngoja nimuite Venus Starhuyu ndo yule alikuwa anaonyesha uchi jukwaan.. kuna ile pic yake moja trended
Zinatumika ila asilimia kubwa ni concrete poles while kwenu asilimia kubwa bado ni miti.Hii ni kineember ya mamaqo.
Kitu nimegundua ni mnataka kuongopa humu kuwa Kenya hamtumii tena wooden poles kumbe bado zinatumika sana tu.
Stats says otherwiseWewe ndio jinga, hujui kwamba hiyo miti huku tunalima Kama tunavyolima mahindi, tomato na machungwa?, We make money from tree plantations the same way you make money from tea, sugarcane plantations, due you destroy environment when you harvest sugarcane for your sugar industries?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]