Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Itabidi umerudia school fees shule thoughπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Then government of South Africa should haven't investing millions on luring Tanzanian tourists on all social media πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Will set up
πŸ‘†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe hujafungua article, hizo 13 ni addition to the 10. Mbona bongo mnapenda uvivu.
Bado nauliza swali TZ ikona Virtual weighbridge ngapi?

Tanzania bado munaweka gari kando ipimwe kama gunia la mahindi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nchi ya kishamba.





 
Hii sii virtual wewe wacha uongo za kipuzi, virtual mnapatana nayo mkivuka border hapo kajiado πŸ˜‚πŸ˜‚
Hajui virtual weighbridge inafanana aje, leo ndio ameona kwa mara ya kwanza na ni picha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ushamba combined na ignorance ni mbaya.
 
I repeat hio si virtual weighbridge yenye mnajenga hapo longido
🀣🀣🀣🀣 Hasira ya kuwa na weighbridges 9 huku Tanzania ikiwa na zaidi ya 70 ndio mnataka kunimalizia?

Mimi nisijue virtual weighbridges? 🀣🀣🀣🀣

Weigh in motion ndio hiyo virtual na zipo 10 tayari, moja wapo hii hapa, bado kufungwa cameras tu

 
Wewe toa ushamba hapa, nani alikudanganya they are targeting Tanzanians. Pole sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Munapenda majivuno za kipuzi.

SA attractions commercials are all over Tanzanias radios and TV stations for decades, hizi ni kwenye social networks tu recently

 
Kwenye barabara ndio hamtii hata Nyayo hio sector hamtuwezi ng'o ... Karibu vitu vingi ume mention sisi ndio tunawashikia namba, eti unaniambia niongelee SGR na BRT pekee, hiv kweli kenya unaweza kujisifu kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii (afya, maji, umeme, chakula, makazi) mbele ya Tanzania.? Ilihali uko kwenu huduma za jamii mumewaachia private sector wawekeze.? sasa hiyo inakua ni huduma au ni biashara.? Watu wetu hawafi njaa huku mzee, kichwa chako chako chenye akili kidogo kinakwambia eti miradi tunayowekeza itawasaidia watu wachachee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unasahau kabisa kwamba "industries and Agriculture are the interdependent economic sectors" tz asilimia kubwa almost 70% tunategemea kilimo, sasa how can you connect these two sectors and develop em, without having roads, rail roads, bridges and all that.? Na ndio maana naona sisi tuko na kesho bora sana kuliko nchi yeyote hapa EA, hatukatai ndio mnafanya miradi lakini kwa mikataba ya hovyo mg, reli yenu ya SGR, Barabara mf NAIROBI expressway, upande wa anga mf Kenya airways, umeme n.k, hivi vitu havitoi hela leo kwa serikali yenu kwahyo nyinyi mnavitumia tu and yes ni vina faida kidogo pia, lakini ukija Tz miradi yetu yote tuliyowekeza, I'ma kwa mkopo au kwa kwakutumia fedha za ndani, na tunayoendelea kuwekeza inafaida moja kwa moja na taifa kwasababu uendeshaji wa hiyo miradi upo chini yetu kwahiyo serikali inapata pesa na jamii inafaidika at the same time na vilevile sectors tofauti zinaendelea kuwa na faida zaidi .. sisi tuna kesho bora
 
Then government of South Africa should haven't investing millions on luring Tanzanian tourists on all social media πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
View attachment 2047289

They are simply shocked by the low number of tourists coming from Tanzania, a SADC country enjoying visa free access. 🀣 🀣
Why else would they advertise to you, a country with basically an open invitation?

Kenyans visit South Africa in higher numbers than Tanzanians, despite no visa free access and higher air fares.
This difficulty in accessing an SA visa prevents even more Kenyans who would wish, and have the finances to visit.
 
LOL Tanzanians population in SA is bigger than your imagination



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…