Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I love how most Kenyan estates entrances are well manicuredView attachment 2045183View attachment 2045185
Geti la kuingilia shuleni, Kenyan lives like a kid from his childhood to adulthood, living in public compound from elementary school to public graveyard πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Lini kwenye stage yenu ya maisha your kid will open up your compound gate for you?

Like this Tanzanian life? 🀣

 
Ila bwana Don YF unajifurahiisha sana unavyotaka kuifanya eti Kisumu ni zaidi ya ARUSHA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa lipi labda.? Heb ona hapa πŸ‘‡ Arusha CBDsniliona pia umepiga kelele kuhusu nyumba za makazi πŸ˜‚πŸ˜‚ pole sana ni vile tu tz watu hawazingatii mambo ya picha ila hata kwa google earth nitakuonyesha Arusha inaweza itoa hata mombasa kwenye suala la makazi πŸ‘‡ UzunguniNjiroπŸ‘‡Burka City πŸ‘‡hizi ni Kati ya estates chache nilizochagua kuonyesha tu .. haya ndio uje ulinganishe na hi kisumu jamani πŸ‘‡ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utakua umechanganyikiwa wewe .. by the way kwa baadhi ya picha zitakulazimu ugeuze simu uone pole πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚





 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] At least picha za ku edit kidogo zinapafanya kidogo na penyewe pajitahid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kisumu level yake ni Moshi town
tuonyeshe moshi airport
 
Nyumba kama hizi zipo Nairobi nyingi kushinda Dar es Salaam mara Mia.
 
Umetisha mzee [emoji122][emoji122]
 
Kisumu is so village, ukabila ndio uliofanya iwe city ili kuequalize kati ya kikukuyu na jaluo ila deep down wanaelewa Kisumu is one massive village, bado pamoja na kua ni kadogo mno ila kana slums sio za nchi hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ At least picha za ku edit kidogo zinapafanya kidogo na penyewe pajitahid πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Kisumu level yake ni Moshi town
Ilishakujaga battle ya Moshi na Kisumu, kipoison ikakimbia na chupi mkononi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…