Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umejibu kwa uchungu mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona umejibu kwa uchungu mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umeumia naona., miradi hazisongi., nchi ni fukara, pia hamkopesheki kivile, annual revenue ni hafifu, itawachukua mda sana, disadvantages ya nchi kukua fukara kiuchumi na ni kubwa na watu ni wengi tena mifukara kwa wingi, ona sasa., ni gap after gap hadi kiama.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Jamii forums Kenya haijulikani, wewe uliijuaje? Au ni mhutu wewe.
 
Jamii forums Kenya haijulikani, wewe uliijuaje? Au ni mhutu wewe.
Kwani watu wachache wakiijua so inajulikana? Kenyans dwell on tweeter., hapa unadhani ni wangapi wako registered and active?., wanafika ata mia kweli? una kicha nini? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 wangekua humu mngeona vumbi
 
Hapo kwenye mifukara mbn hutaji vitu essential kama food? Unaogopa nn? Cc si mifukara kwahiyo vitu basic kama food and shelter ni lazima itupige chenga au unasemaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hujawaambia poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…