Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanashingilia adopting industrialization lakini nyinyi bado mmebaki kwa agrarian revolution. Mnalima, tunanunua toka kwenu, we process and then resell the final product back to you.
Haya maneno huwa yananichekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwamba sisi tunalima nyie mna nunua halaf mnaprocess then mnauza.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Heb taja bidhaa moja ambayo mnazalisha kupitia Mali ghafi za Tz..
 
Lazy ni lazy. Building a museum while diying from hunger is an indication of mental retadation. Mtu atavunyika kiuno hapo kutokana na ulazy na scraped military equipments
The last time I checked Tanzanians were more malnutrition than any country in EAC bar SS.
 
Hyo ni left hand drive mzee[emoji1787][emoji1787]
Jamani, mbona nyie watu matahira hivi..
Left hand drive maana yake usukani upo left sio...

Watueeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Teargas
uhehehhe leo acheni tu nicheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…