Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ss kama unataka post za hivi c naingia twitter tu nakuletea comments za KOT on Tz c utakimbia wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini Cha ajabu Sasa hapo🤣🤣🤣🤣🚮🚮 we rank ahead of you in fifa rankings. Tanzania is the least sporting nation in the world. Nitajie one sport ambayo mko successful kando na uchawi na umaskini.
Begging.
 
Hehehehee tulishawapiga sn na hii interchange, wanaijua vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leo nimekosa bonge la view, yale ma modern helkopta yetu yalikuwa yanaongozana leo, sema simu ilikuwa mbali dah, ningetupia humu niwaumuze wakunya wakiona H225 tano zimeongozana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama gorofa moja inaanguka mkianza kujenga 10 kwenda juu je?
Mbona magorofa mengi Tu sema hiyo alipewa engineer Michael aliesomea kunyaland alipo fundishwa kuchanganya udongo mwekundu na cement na msela mmoja kutoka kiambu ndo matokeo hayo🙂 tunavongea engineer Michael Yupo central anatoa maelezo kamili🙂
 

Hii imepotezewa sana, Hata kule SSC sidhani kama ilikua na thread labda kwa sababu kimepigwa kitu two in one [emoji41], Watu wamefocus sana kwenye daraja hii imepotezewa vibaya mno.
 
Tunaongelea magorofa ya uswazi. Sio akina Britam ama TPA ambayo yalibuniwa na Wakenya.
 

Yatapiga sana misele siku ya Alhamis Mkuu, our 60th birthday,
Chaji simu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…