Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutana na team za Tanzania zinazomiliki mabasi makali 2021 AZAM👇SIMBA👇YANGA 👇DODOMA JIJI FC👇 IHEFU FC👇SINGIDA UNITED 👇MBEYA CITY 👇MBAO FC👇WHILE JIRANI ZETU WA KASKAZINI TEAM YAO KUBWA INAMILIKI BASI KAMA LINAVYOONEKANA HAPO CHINI 👇Eeeh Mungu nifundishe kunyamaza 🤐 ... Je nini maoni yako wewe mdau (stakeholder) wa maendeleo EA.?



 
Mkuu umewasahau wanajeshi ya mpakani😃
 
Maoni yangu Tanzania Hana mpinzani Africa ya mashariki na ya Kati ikifikia kwenye investment ya sports and facilities,kumbuka Tanzania ndo ina uwanja wa kipekee Africa mashariki na ya Kati ambao unatumia led electronic display for outdoor advertisement Azam complex
 

Ila tz watu wameweka pesa bhana kwenye mpira duh..!! Inaonekana mpira tz kwasasa unalipa mno
 
zetu hampo serious eti gari inavuka mto wakati maji Yana over flow kwenye brigde
Yaaani nashangaa na hawa jamaa watu hawadhamini life Yao,Wananchi walitakiwa wamshauri dereva ashushe abiria hao wamekaa Kama mazombie wakitazama movie Hilo dude ilitakiwa kuvuka lenyewe sasa life imepotea Ila polee Yao😔😔SO sad
 
Ni SGR, hicho ni kichwa cha majaribio [emoji23]
Angalia picha wakati kikishushwa kutoka Kwenye meli walikiweka Kwenye meter gauge rail kisafiri mpaka Yadi kubwa ya matengenezo ya sgr soga Ndio wakihamishie Kwenye Sgr

Baadhi ya wakenya sio wote wenye wivu wakaleta fake news .
Tanzania ikifanikiwa kenya imefanikiwa achaneni na mambo ya Mwaka 77 yalipitwa na wakati.
Hii electric sgr ikikamilika itakuwa ya kwanza Afrika kwa urefu.

 
Kiongozi wala usibishane nao hao ni wabishi sana kwenye vitu ambavyo ni obvious. The fact is elevated section ya Nairobi Expressway haijafika 9km anayebisha aanike kende hapa ni mfinye.
 
Huu ndio ushahidi umeweka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao mbwa ni kama unampigia mbuzi gitaa, kesho atapost tena ile picha na atataka mbishane tena na matusi atakumwagia,
 
napinga kabisaa.., nimetumia hiyo barabara mara mingi., iko shwari kabisa.., hakuna technicalities..,
Sasa nenda Google uwaambie wabadilishe au mstue mkunya mwenzio ñicxie aka update mana yeye huwa ana update google, huoni ma slums hayaonekani Google cku hz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…