Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ From cooking of figures know making Fake News(CNN and BBC) Nawasi wasi Wanjala atakuwa amefanya hii kazi. Jana alituonyesha Laptop akadai mida simrefu tutamuona Azam TV. Hii kitu imewa chafuli sifa kwenye media hizi kubwa.
 
Kweli tanzania iko motooπŸ˜€πŸ˜€
View attachment 553271
baada ya kusikia Kenya ina mpango wa kujenga dry port Naivasha? hamuwezi kuwa unique for once???
kila tukitaka kufanya mpango wowote, lazima nyinyi pia mujibu... hivi munashindana na Kenya au tujuweje?
(Ke) Lamu Port - (tz)bwagashonde port
(Ke) Sgr Msa-Kla-Kgl - (tz) hadithi za abunuasi
(Ke) Naivasha dry port - (tz) kiboma dry port.....
na zingine kama Airport expansion na Port expansion n.k
tujuweje sasa?
 
we unawazimu ikiwa nyie munampango sisi tulishaanza kujenga ruvu dry port πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tusubirie hio hadithi ya abuwasi na tusije tukakimbiana humuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
na sasa mzigo wa uganda utakua unapitia ziwa victoria mwanza to entebe uganda
 
aya sasa kwa leo nataka tushow vituo vya mafuta vilivyo DAR ES SALAAM nataka pia watu wa NAIROBI muonyeshe vituo vyenu vya mafuta hivi ni baadhi toka dar vingine wataviendeleza watanzan ia wenzangu..

Total Tanzania has a retail network of 32 service stations and lubricant, aviation fuel and general retail ..
Total Expand Downstream Petroleum Distribution in Tanzania - TanzaniaInvest

Presently, Total Kenya Limited's market presence boasts of more than 176
service stations, 5 solely owned fuel depots, ...

Home

say no more
 
actions speak louder than words. while one is action oriented,, the other one ni tuta... tuta... tuta... mpaka imekuwa wimbo. toeni single sasa
 
we jamaa wa ajabu sana.........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna vitu havikwepeki asa masuala ya expansion hamuwezi miaka 40 au 60 watu mbaki na eneo dogo angali laweza kuzalisha zaidi.....
siitakuwa upuuzi
 
actions speak louder than words. while one is action oriented,, the other one ni tuta... tuta... tuta... mpaka imekuwa wimbo. toeni single sasa
kwan sgr mlijenga kwa wiki moja au kuna mtu alikua anawasumbua tulieni ndugun acheni mapepe
mradi tumeuanza na baada ya 2.5yrs tutaanza kutumiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tanzania our small Brother must always copy us Lol. Ndugu zetu wanawatch moves zetu 24/7......
 
oilcom pekee tanzania anavituo vya mafuta zaidi ya 100πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
camel oil vituo zaidi 70
lake oil vutuo zaidi ya 70
total tanzania kazidiwa kifuaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 



majamaa wanacopy mbinu zetu ile noma wah.......Tanzania nimewainulia mkono kwa Ku copy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…