Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na wakiendelea battle ya health services wataumbuka vby mana tuko mbali sn, foreigners wanafurika Tz kupata huduma za afya kwa ss kuliko kipindi chochote kuwahi kutokea, residential za kariakoo zimejaza foreigners wanaokuja kwa huduma za afya na trade.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa majamaa vitu vingine wameanza kuviona juzi wanaona maajabu. Kama Ile ishu ya skyscrapers.
Hahahaha ninyi ni wapuuzi hamna lolote mnaweza kufanya zaidi ya kupenda sifa, Kenya haijawahi na haiwezi kufanya "bone marrow transplant" hiyo article yenu imethibitisha kwamba Kenya haijawahi kufanya hiyo procedure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

 
Maskini ichoboi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katafute procedures za aga khan hospital nairobi, utaumbuka maskini..
Eti tunatangaza hospitali za nje
 
failed state kwann inapokea misaada ya vifaa tibaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole sana
 
Maskini ichoboi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katafute procedures za aga khan hospital nairobi, utaumbuka maskini..
Eti tunatangaza hospitali za nje
nakwambia ukipata ushahidi mm nafunga acc jamii forum mark my words🀣🀣🀣🀣

tafuta ushahidi nakupa wiki nzima uhangaike na ikiwezekana mukatengeze link fake mulete hapa
 
Why are posting a link we already knew ?
 
Hehehe!!video ya dogo hospitali mumekataa, hata procedures za aga khan pia hamtaki[emoji1787][emoji1787]

Poleni sana
 
na hii ni good example πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
huyu hapa mkenya anaelezea alipopata matibabu ya bone marrow trasnplant in india jamani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2028676
 
Nimeiongeza Kenya tayari, kumbe mnafanya bhn [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2028684
Kwishaaa mchezo wenu, bado kunengua tu, mkizidi sana na screenshot mle mle kw ile link..nyie ni wazembe sana, hata kupakua link hamjui[emoji1787][emoji1787]
Yani leo nimecheka sana
 
Hehehe!!video ya dogo hospitali mumekataa, hata procedures za aga khan pia hamtaki[emoji1787][emoji1787]

Poleni sana
ni hospitali gani hio mutuambie hapa 🀣🀣 kwanza itazame hospital ilivo alaf tuambie sasa mamaeeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
nakwambia ukipata ushahidi mm nafunga acc jamii forum mark my words[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

tafuta ushahidi nakupa wiki nzima uhangaike na ikiwezekana mukatengeze link fake mulete hapa
Book online mzee[emoji1787][emoji1787]
Km imekuuma sana lkn, yani dogo ivan afanyiwe tranplant eti nyie mukatae kisa roho za kichawi
 
Lakini hatujaipata msaada kutoka kwa nchi ya Afrika venye Tz ilipata
msaada inaangaliwa na anaekupa ??πŸ˜ƒπŸ˜ƒ msaada ni msaada tu my friend hata kama unapewa msaada hata na rwanda still ni msaada
 
Kwishaaa mchezo wenu, bado kunengua tu, mkizidi sana na screenshot mle mle kw ile link..nyie ni wazembe sana, hata kupakua link hamjui[emoji1787][emoji1787]
Yani leo nimecheka sana
Kalilie twitter, watu tunawekeza pesa wkt nyie mnaiba alafu tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Book online mzee[emoji1787][emoji1787]
Km imekuuma sana lkn, yani dogo ivan afanyiwe tranplant eti nyie mukatae kisa roho za kichawi
nakwambia ukipata bone marrow transplant imefanyika kenya nitag nifunge acc 🀣🀣 NairobiWalker yuko google anahangaika sasa hvi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…