Is just a simple question nakuona unatoa povu. Which activity are you doing? Wewe unasema you have deals? deals gani hizo hazina majina? Deal isiyo na jina ni utapeliyou are very petty man.....so you believe one can not make money from his own hustles unless he is a thief,conman,robber etc...work hard and forget about being employed.i had a job but i decided to quit
Employed wapi wewe?? Mnajazana kwa city park hadi wanaandika maneno kwenye viti vya city park ilikuwafanya msikae hapo hovyo. Soma hiyo photo.most people are self employed man.....hatungoji kuajiriwa
so am now suppossed to expose all my dealings to the public for fear of being branded a conman....so be it but if i were a conman am sure saa ii nngekua nakula maharagwe mabichi kamitiIs just a simple question nakuona unatoa povu. Which activity are you doing? Wewe unasema you have deals? deals gani hizo hazina majina? Deal isiyo na jina ni utapeli
and that justify what?????Employed wapi wewe?? Mnajazana kwa city park hadi wanaandika maneno kwenye viti vya city park ilikuwafanya msikae hapo hovyo. Soma hiyo photo.View attachment 552573View attachment 552575 View attachment 552577
Ethiopia's population is twice Kenya's. With a difference of $2B.... what does that tells you?
at the same time
Kenya Gdp = 112
Tz Gdp = 77
difference = 35
mbona hii gap inashinda ikipanuka despite the fact that uchumi wenu unakuwa kwa kasi as you always say na hatupumui humu ndani??? haha π
mutatupita tu.
so much things to learn
Kwanini unaona aibu kusema kazi yako? So your job is secret? Kazi za siri pekee ni ujambazi, utapeli na kuzamia Tanzania kuja kufanya wizi kwenye supermarketso am now suppossed to expose all my dealings to the public for fear of being branded a conman....so be it but if i were a conman am sure saa ii nngekua nakula maharagwe mabichi kamiti
i was quite clear when i told you am an engineer by profession but i dont practise unless of course kama nimeitwa kwa mambo kama ya wiring ,sichagui mimi,ntafanya nile pesa na nisepe..i can mek alot of money out there than when am seated in an office employedKwanini unaona aibu kusema kazi yako? So your job is secret? Kazi za siri pekee ni ujambazi, utapeli na kuzamia Tanzania kuja kufanya wizi kwenye supermarket
Kama huyu hapa
Au ni wewe?
Green City Dar es salaam. Usafi unaenda mbele
My question is simple what activity inayokuingizia pesa daily? Be open my friend I can employee you. Kutokana na maelezo yako haya your jobless.i was quite clear when i told you am an engineer by profession but i dont practise unless of course kama nimeitwa kwa mambo kama ya wiring ,sichagui mimi,ntafanya nile pesa na nisepe..i can mek alot of money out there than when am seated in an office employed
okay am jobless if that makes you happy...lets move onMy question is simple what activity inayokuingizia pesa daily? Be open my friend I can employee you. Kutokana na maelezo yako haya your jobless.
If your jobless, how do you get money for ugali, au ndio utapeli? Nilikuambia kuwa most of kenyans are jobless na wewe umekubali. Nijibu sasa swali langu unaendeshaje maisha? kama siyo wizi?okay am jobless if that makes you happy...lets move on
do you use your brain man??am self employed..nsingekua na pesa yakununua bundles daily nikue online kama nngekua nasindwa na pesa ya ugali.anyway food for thought...from 3rd year nkiwa campus pale kenya poly now TUK i could make up to 50K a month..how?,is your question.kudesign na kufabricate projects za lazy heads fifth years wa Beng na 4th years Btech nkimaliza nalipwa pesa yangu,,online writting ndio ilinipea pesa kama ujinga iyo time.some of the side hustles you can do.be smart and you will surviveIf your jobless, how do you get money for ugali, au ndio utapeli? Nilikuambia kuwa most of kenyans are jobless na wewe umekubali. Nijibu sasa swali langu unaendeshaje maisha? kama siyo wizi?
My question is very simple lakini unazunguka zunguka sana. What is your daily activity?do you use your brain man??am self employed..nsingekua na pesa yakununua bundles daily nikue online kama nngekua nasindwa na pesa ya ugali.anyway food for thought...from 3rd year nkiwa campus pale kenya poly now TUK i could make up to 50K a month..how?,is your question.kudesign na kufabricate projects za lazy heads fifth years wa Beng na 4th years Btech nkimaliza nalipwa pesa yangu,,online writting ndio ilinipea pesa kama ujinga iyo time.some of the side hustles you can do.be smart and you will survive