Your point is not valid..over last 4 years we were on surplus..and 1st half of this yearYou are just like your fellow Tanzanians in here. Hamna tofauti kabisa. Haya madai yote umetoa wapi? Akilini kama wenzako wanavyofanya ama?
More industrialized?! 😂 😂 😂Tunapambana na miamba SADC huko ndio nyie wajangwani huko? We are more industrialized in this region as you can see the BoP speaks for itself. View attachment 2014269
This is the post I quoted kijanaYour point is not valid..over last 4 years we were on surplus..and 1st half of this yearView attachment 2014288
Can you prove these claims above?Kwa Tanzania major export katika SADC market ni steel, plastics hivyo tuna produce in excess hadi kuuza nje. Hadi kenya huko mnapata plastics materials from Tanzania. Hasa mabomba.
Nadhani hii ndiyo taarifa aliyo kuwa anasema from Business DailyCurrently mna import zaidi kutoka kwetu
.View attachment 2014251
Wanasiasa bana, pale alialikwa kuhudhuria uzinduzi wa familia mpya au kuongelea siasa? Mimi nilitegemea baada ya kupewa nafasi ya kuongea, angetumia nafasi ile kuwashauri hawa wanandoa wapya, kwamba wafuate maadili mema kama walivyofundishwa na kiongozi wao wa dini kwa kutumia vitabu vitakatifu. Wapendane kama wanavyopendana sasa, wawe waaminifu kwa Mungu wao na pia kwa mmoja na mwenzake. Wavumiliane kama wenyewe wanavyovumiliana katika ndoa yao kongwe.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuache masihara hii Livery ya Atcl ni tamu sana wakuu.
Kama Kawaida mmetoka nje ya render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbingu na ardhi.
Sioni city yoyote aftika mashariki ikiweza kupambana na dar es salaam,dar is hotter than anything
Namuona mjomba Max na mbawa zake.
Hii mbona kama Dubai hivi?! Yaani ukimchukua mwafrika yeyote anayeiona hii pic kwa mara ya kwanza lazima akatae kuwa hapa ni Afrika.
ATCL ina bonge la livery ila TRC inabidi wajipange livery yao iwe nzuri isije kufananishwa na distiller ya changaa.Tuache masihara hii Livery ya Atcl ni tamu sana wakuu.
Mbingu n Nairobi jehanamu ni darMbingu na ardhi.View attachment 2014408
middle class ya ndotoni labda kuhusu michezo hakuna mnachotuzidi landa mbio na kwenye diplomatic ndiyo kabisa usiguse ,hakuna mnachotuwezaTunawazidi kiuchumi, tunawazidi kimaendeleo, tunawazidi kwenye anga za international influence and diplomatic relations, tunawazidi kwenye michezo, tunawazidi kwenye swala la middle-class population, tunawazidi kielimu, tunawazidi kwa human development index, tunawazidi kwa kuwa na idadi ndogo ya masikini, et al tunawazidi...tunawazidi...tunawazidi... Na tutaendelea kuwazidi!
Lia pole pole [emoji23]Kama Kawaida mmetoka nje ya render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]