Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wueeeehhh climate change is real. Kilimanjaro is naked.

View attachment 2012395
Sasa hivi hatuna raisi badala ya kuimiza kupandwa miti hata kwa kutumia wafungwa 7eye anatangatanga nchi za watu sasa hivi ni tofauti na kipindi cha magufuli tungekuwa tunasikia raisi akidhungumzua mikakati ya upandaji miti kwa mamilioni...wakati mpuuzi ana dhungumzi chanjo feki za kovidi na jinsia sijui nani kamwambia wanawake wanakula jinsia
 
Ofafa Jericho, one of the oldest residential areas in Eastlands, Nairobi. Looking way better than the dreamhouses in Dar's uswazi
 
View attachment 2011826
Zipo nyingi sana Mzee. This one is more clear
Arafu utasikia wakenya wanasema daraja lipo chini [emoji1787][emoji1787]eti wanataka meli zipite chini [emoji1787][emoji1787] sijui ziende wapi!! yaani hawa wajinga hawajui kuwa ilo daraja linaunganisha mto na bahari sasa meli zipite chini kwenda mtoni[emoji2957][emoji2957] .pia awajui kuwa ilo daraja ni kubwa sana ndiyo maana linaonekana lipo chini ila ukweli lipo juu sana. Tony254 komora096 MK254
 
Majengo hayohayo matatu in different angles
 
Ndio uchafu gani unaweka apaa..
. Mwanza iyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…