Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekubali Eastland is a home of flying toilets!?
Tuanzie hapo kwanza kisha unitajie Nina la sehemu ya picha uliyoweka
Mtafika tu bongolalas, msijali. Rome wasn't built in a day.

Eastlando

Dar is slum πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Unadhani sukari ni ya kuweka kwa chai pekee. Why are you dumb? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hiyo sukari unayotuonesha mnauza kwenye supermarket ni ya viwandani!?
Stupid Kenya.
Go back to school.
We use honey. And you don't have Honey
 
and to imagine tanzania has a population of not more than 60m huku 28m ni extremely poor, mbna wakose kuexport omba omba kwenye nchi za wenyewe?
Huwezi kuona ombaomba katika mitaa ya Tanzania kwasababu kuomba ni kosa kisheria wanakamatwa na polisi ndio sababu hukimbilia huko kwenu ambako Kitendo cha kuomba ni sehemu ya kupata chakula[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Again, unsubstantiated talk. Empty rhetoric from a bongolala as usual. Keep going man, it will help Tanganyika overtake Kenya
That is from Google my friend, just copy and paste[emoji23][emoji23][emoji23]
 
and to imagine tanzania has a population of not more than 60m huku 28m ni extremely poor, mbna wakose kuexport omba omba kwenye nchi za wenyewe?
Alafu unasikia kilaza akisema eti gap kati ya rich and the poor in Tanzania ni ndogo!!
 
Mibongolala kwa visingizio na vijisababu! Sawa basi, tupe bei ya asali tuone kisha umalizie na ya unga. Ama unga pia hamtumii?
Unataka bei asali au ya unga.
Unga wa mahindi
Unga wa mtama
Unga wa mchele
Unga wa ngano
Unga wa ulezi
Unga wa dengu
Be specific unataka unga upi.
Upande wa asali na maziwa kila kaya wanavyo hawahitajiki kwenda supermarket.

Tunaenda supermarket kununua electronic devices na siyo food.
 
Huwezi kuona ombaomba katika mitaa ya Tanzania kwasababu kuomba ni kosa kisheria wanakamatwa na polisi ndio sababu hukimbilia huko kwenu ambako Kitendo cha kuomba ni sehemu ya kupata chakula[emoji23][emoji23][emoji23]
The bottom line is that they are all Tanzanians begging on our streets
 
Unga wa mahindi, 2kg
 
Bongolala, tunataka kuona BEI
 
Nyamaza kama umeshindwa kuleta bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…