Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Online comments vs Reality
 
😂😂 Rich neighborhoods in dar es Salaam zinajazwa na mansions tu sio manyumba ya apartments za kupangisha kama huko kwenu,
 
Hiyo ni biashara gani inafanyika Mwanza Nairobi haifikii? Ya kuuza albino ama?
Kwenye sekta ya Madini , kilimo na bidhaa za Samaki

Nestled on the southern shores of Lake Victoria, Mwanza City is now the leading economic hub in western Tanzania, attracting big fish processing industries and mining companies. With a population of nearly one million, Mwanza depends on fishing and mining as its core economic activities.
 
Hahahaha wewe jinga Sana, 90% ya matunda yanayouzwa katika masoko yetu ni fresh, hayapitia popote, yaani yametoka shambani Moja kwa Moja, 80% ya Nyama na kuku wamechinjwa siku hiyo hiyo bado damu inachuruzika. Samaki wengi wametoka baharini siku hiyo hiyo bado wanachezesha mikia hawajafa.

Sifa kubwa ya malls ni kuuza packed, canned and preserved food wakati sokoni sifa kubwa ni kuuza fresh food

Masoko zaidi ya 98% ya bidhaa zinazouzwa ni kutoka kwa wakulima wa ndani, masoko yanasaidia Sana kuongeza kipato cha wananchi wa chini hasa wakulima, wakati 70% ya bidhaa za malls ni "imported", 28% ni locally manufactured goods ambazo hazimgusi mkulima Moja kwa Moja, only 2% ndio bidhaa toka kwa wakulima.

Nairobi Kuna malls nyingi kutokana na Historia ya kwamba, Nairobi ndio ilikua HQ ya wazungu/waingereza walipokua wakitawala EA, baada ya kupata uhuru, wazungu wengi waliendelea kubaki na kumiliki Mali Kenya, kufunguliwa kwa ofisi nyingi za UN hapo Nairobi kuliendeleza mahitaji ya Malls, hizo malls ni kwa ajili ya wageni zaidi sio Kibera dweller like you,[emoji23][emoji23]
 
So nchi ipi ina njaa kati ya Tz na Kenya jibu hapo alafu tuingie Google [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo yale malori ya chakula yanayotoka Tz kuja Kenya kuuza chakula pia ni uongo na kwamba hayaleti chakula ila yanaficha data, twende taratibu don't panic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Only stupid person can think that majority South Africans(blacks) live better life than Tanzanians.

Unfortunately you Kenyans think development is to have skyscrapers and better infrastructure while majority of citizens are swimming in pools of poverty.

South Africa and Kenya are typical example of countries in which majority of citizens don't participate in their economy, only few people mainly foreigners and politicians do enjoy the economy, that's why Tanzania leads Africa in Economic inclusivity
 
ndoto za index [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kweli maisha siyo poa,unaacha kukubali reality inayo watafuna unaleta ndoto za index eti mpo vyema kuliko Tz kwenye hunger

usirudie kauli za kujifurahisha for nothing
reality yenu kimaisha ipo hivi,watu mmekaukiana

shukuru mungu JF kwa sasa hairuhusu kuupload picha ambazo zingekufedhehesha
 
Malnutrion affects even people with enough food, biggest reason for malnutrition in food secured countries like Tanzania is taboo not lack of food, Malnutrition means deficiencies of one or more of nutrient, it never cause starvation and death, 35% of black American's children do suffer from Malnutrition.
 
Tunaficha wapi mwanangu!?
Umeshawahi kutembelea Tanzania!?
Hifadhi ya chakula TZ

View attachment 2003557
This picture proves nothing.
Tunataka report za wataalamu kama hii.


Yana kuja kuuza sio kuleta msaada, we have robust economy kuwashinda, demand for food iko juu na pia wakulima wenu wanapata chance ya kutengeneza pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…