Maneno mengi fact zero[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kulilia yani chakula ununue kutoka bongo halafu kiwe bei rahisi kuliko kinapozalishwa .? [emoji23][emoji23][emoji23], Unafkiri hata kama tutaweka bei ya supermarket itakua kubwa kuliko kwenu since chakula kinalimwa hapahapa.?
Nakuhurumia sana kijana. Nahisi huna exposure.Munauziwa aje 500ml Lato Milk 63 Bob ππππ
Leteni hizo bei zenu za maziwa tuone.
View attachment 2000664
Endeleeni kulima, kuja Namanga boarder uone lorry za TZ vile zimepanga laini na mchele. Munaleta Kenya tunafanya processing na packaging inauzwa kama grade A within the region and beyond. Kama hamjui kufanya biashara hio sio shida yetu.We jamaa huna akili timamu, yani bidhaa za chakula zilimwe Tanzania alafu eti ziuzwe Bai ghali ndani ya nchi kuliko sehemu ambayo zinapelekwa (nje ya nchi) πππ wewe ni chizi ..
Hawa jamaa kwao noma sana[emoji1787][emoji1787]Munauziwa aje 500ml Lato Milk 63 Bob [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leteni hizo bei zenu za maziwa tuone.
View attachment 2000664
Endeleeni kulima, kuja Namanga boarder uone lorry za TZ vile zimepanga laini na mchele. Munaleta Kenya tunafanya processing na packaging inauzwa kama grade one within the region and beyond. Kama hamjui kufanya biashara hio sio shida yetu.We jamaa huna akili timamu, yani bidhaa za chakula zilimwe Tanzania alafu eti ziuzwe Bai ghali ndani ya nchi kuliko sehemu ambayo zinapelekwa (nje ya nchi) πππ wewe ni chizi ..
Kisumu inapitwa na Iringa. Kama unabisha tuanze kazi sasa hivihehehe.., ya Mwanza ama Arusha hiyo size iko wapi? π π π π π .., Tz ya city moja.,
Acheni ushamba mzee, hyo packaging mbona ya kitambo sana hku kwetuNakuhurumia sana kijana. Nahisi huna exposure.
Nakuonjesha tu. Packaging ya maziwa. Halafu linganisha na utumbo ulioweka
View attachment 2000675
Ukweli mchungu.., bakini na CCM yenu ya propaganda., Tz haina slum, pia mimi naona hivyo π π π πNenda uka update google uziweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unauliza swali alilokuuliza mwenzakoMzee bei ya supermarket umeweka!? Mbona kelele mingi tu. Tuwekee bei yenu ya supermarket.
jipe shughli tu.. π π π π π πKisumu inapitwa na Iringa. Kama unabisha tuanze kazi sasa hivi
View attachment 2000677
Mamam yangu haya maziwa kwao ni 63Hii maziwa low quality munauziwa ksh 63.
Museveni anawafinya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2000655
Usijitie ujanja hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eka bei tuweke, si nyie mnajisifia kwenu rahisi..thibitishaWewe unauliza!? Mbona huweki bei yenu unaogopa nini!?
Check hapa. Wewe umeweka utumboAcheni ushamba mzee, hyo packaging mbona ya kitambo sana hku kwetu
Unadhani mbona wakona supermarkets kidogo, processed food is expensive in TZ. Nimewaambia walete bei ya rice na maziwa kwa supermarket wakatoroka. πππ Lakini ukiwaambia walete bei ya mihogo mbichi watakuja hapa kwa vishindo.Mamam yangu haya maziwa kwao ni 63
Tunataka kuona bei. πππ
Sijui retail itakuwa ngapi πππUnadhani mbona wakona supermarkets kidogo, processed food is expensive in TZ. Nimewaambia walete bei ya rice na maziwa kwa supermarket wakatoroka. πππ Lakini ukiwaambia walete bei ya mihogo mbichi watakuja hapa kwa vishindo.
kabla sijasahau.., leo ni Manchester derby! unakula wapi bata uki watch as u cross your fingers?, najua utakaza tako mshinde ama draw am off Man city ni moto wa kuotea mbali.., nakuombea ushindi leo, masaibu yenu hii season ni mengi.., mnateswa sana! π π π
kabla sijasahau.., leo ni Manchester derby! unakula wapi bata uki watch as u cross your fingers?, najua utakaza tako mshinde ama draw am off Man city ni moto wa kuotea mbali.., nakuombea ushindi leo, masaibu yenu hii season ni mengi.., mnateswa sana! π π π
Kilo moja $4 mama ntilie wangeacha fanya biashara .Nimechungulia Bei ya Mchele duka flani hapa naona kuna wa 1300 kwa KG, ambayo ni Usd 0.56.
Hizo Dola nne ni Mchele gani [emoji1787].