Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shidaaaaaaaaaa🤣🤣🤣 A country with 60 radiologists what do you expecti!

Tanzania Government suspends 72 hospitals from offering radiation services​

 
What a response! Huyu hata hafai kurudi
 
Mwenzetu kutoka kusini alikuwa akimuitaje? 'International radiologist'??? 😂 😂 😂 Yani midanganyika ni tujinga sana
international radiologist, 🤣🤣🤣🤣 hawa wasee hunifurahisha sana wakidisplay ignorance.
 
All county level 5 referral hospitals and level 4 hospitals have MRI Scans and can perform surgeries.
Ninakuhakikishia hakuna MRI machine 5 Kenya yote, tena inawezekana hata 3 hazifiki, wacha kuchanganya Kati ya CT scanner na MRI, hata hizo CT scanners hazizidi 20 kwa Kenya yote.

Taja majina ya Hospital 5 za serikali Kenya zenye MRI machines, wacha kudanganya watu wewe.
 
Jamaa wanafikiria hospitali ni majengo makubwa[emoji1787][emoji1787]
Mwenda zake ndio aliwatenda walai, yani kajenga magofu karibia mikoa yote alagu akafa
We have the most advanced and sophisticated medical Equipments than all other East African Countries cambined together, that's why we can perform the most advanced surgeries.
 
Siwezi poteza wakati na huu mada tena, it's a one sided affair. Hakuna kitu ya maana munapost, kazi yenu tu ni kulalamika. Nueni vifaa kwanza.
 
Siwezi poteza wakati na huu mada tena, it's a one sided affair. Hakuna kitu ya maana munapost, kazi yenu tu ni kulalamika. Nueni vifaa kwanza.
Hamjui lolote kazi yenu ni kupenda sifa za kijinga tu, unadhani MRI ni kifaa cha mchezo?, Hujui tofauti yoyote Kati ya hizi machines, wewe ukisikia "Radiology Equipments" unadhani ni kila kitu, hata Hospitali ikiwa na X-Ray & Ultrasound machines hiyo inatajwa kuwa na radiology Equipments. Hospitali zenu hazina" most advanced radiology Equipments as we do have here in Tanzania"
 
Waaaaa mumeumwa sana walai
😂😂😂🤣🤣
 
Ziko wapi vifaa vyenu??? Tunataka kuona kama zinafanana na zetu. 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…