President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Mzee issue za hospitals Tanzania tulisha malizana nazo 2018. Kumbe ninyi ndio mnaanza!!!Kenya is building new hospitals at the speed of light ππ, nyie mumeshindwa hata kuimprove the old facilities that you have. Mumefungwa macho na maendeleo ya Chato.
Nakuru and Naivasha referrals hospitals coming up nicely.
View attachment 1996720
View attachment 1996721
alaf wanakuja hapa kuongopa ππ[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1996718
Rafiki yangu wacha nikufunze kitu kidogo. Hii picha imechukua mwisho mwisho wa westlands haijachukua westlands yote. Isitoshe ukitazama kaskazini mashariki utaona jengo moja tu la upperhill linaloitwa UAP towers. Hakuna Britam towers ya upperhill kwenye hio picha[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1996718
π€£π€£ Ndio uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo. Kwani hakuna hapo Kenya Mwenye akili zaidi yako, japo akupatie education kidogo, upate 20% ya akili zetu!?Hii huku nimeanzisha Watanzania wakamatwa kwa kujaza omba omba wao Kenya
Ndo mana nkakuambia huna akili, na hivi ndivyo Wakunya wengi mna reason.Russia and China are not developed. Read on the threshold for developed country and come back.
Mzee westlands Area size ni 97km square.Rafiki yangu wacha nikufunze kitu kidogo. Hii picha imechukua mwisho mwisho wa westlands haijachukua westlands yote. Isitoshe ukitazama kaskazini mashariki utaona jengo moja tu la upperhill linaloitwa UAP towers. Hakuna Britam towers ya upperhill kwenye hio picha
View attachment 1996723
na pia hakuna prism towers ya upperhill
View attachment 1996725
wala Rahimtulla towers
View attachment 1996731
wala Kcb towers ya upperhill
View attachment 1996733
Zote hizi majengo ya upperhill sizioni kwenye hii picha. Halafu za westlands ambazo hazipo ni kwa mfano one africa tower View attachment 1996722
Na Delta house
View attachment 1996737
Nimeshakueleza ni ngumu kupata picha moja inayoweza kuchukua majengo haya yote katika picha moja.
Ijengwe ndogo alafu baadae uchumi ukiwa mkubwa ibomolewe ijengwe kubwa??governor's residence ni kama tu statehouseBut kazi ya governors mansion ni nini ndio imfanye ajenge kitu kubwa hivyo? Ndio bibi yake na watoto waishi huko? Why so many rooms, why such a big structure in one of the poorest counties in Kenya? Kama angejenga a smaller residence na atumie the rest of the money kujenga hospitali au shule ingesaidia watu. Governor's residence kwanza kama ni kubwa kama hii is just a waste of money. Mandera sio Nairobi au Kisumu yenye tunaeza sema ina mahospitali na mashule ya kutosha. Anyway that is just my view, I may be wrong but I believe that my criticism was reasonable in the context of a poor county like Mandera.
Kweli nafasi ya mkia mkiani. Nyie wakenya ni mikia.Ijengwe ndogo alafu baadae uchumi ukiwa mkubwa ibomolewe ijengwe kubwa??governor's residence ni kama tu statehouse
Wow hii ni new morogoro regional hospital au ni songwe regional hospitalππππ mkoani hamna kitu.Mzee issue za hospitals Tanzania tulisha malizana nazo 2018. Kumbe ninyi ndio mnaanza!!!
Check hapa mwanangu. Apollo of East Africa
View attachment 1996727View attachment 1996728View attachment 1996729View attachment 1996730
ifakara morogoro regional hospitalWow hii ni new morogoro regional hospital au ni songwe regional hospitalππππ mkoani hamna kitu.
mulidanganywa na mama ngina πππWow hii ni new morogoro regional hospital au ni songwe regional hospitalππππ mkoani hamna kitu.
ππππππ hii mulisema ni cityWow hii ni new morogoro regional hospital au ni songwe regional hospitalππππ mkoani hamna kitu.
Nimekwambi kunyaland kazi yenu ni kunya tu. π€£π€£π€£Wow hii ni new morogoro regional hospital au ni songwe regional hospitalππππ mkoani hamna kitu.
Ingia hapaWow hii ni new morogoro regional hospital au ni songwe regional hospital[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkoani hamna kitu.
Harudi tena.ππππππ hii mulisema ni city
View attachment 1996755View attachment 1996756View attachment 1996757View attachment 1996758View attachment 1996759