Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikajua hatuna kumbe kuchelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajua Tanga fress ipo toka lini?...kifupi hatuna bidhaa za maxiwa toka kunyaland accept it and move on
We kubali kwanza km mumezinduka juzi
 
Grants/donations
 
Ndiyo maana wanasema kibera kuko na umeme kumbe ni kweli hizo taa mbili kubwa zinaangaza ndiyo umeme wenyewe , komora096 ukuje huku
Ukija nairobi utabaki kuzurura down town km shebby, hana hela maskini[emoji1787][emoji1787]
 
Nyie mumezinduka juzi basi mnajikuta dunia ya kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti mikoa mitatu
Ndugu zenu wanigeria magorofa yanawabomokea nendeni nailand foruum mkawaelekeze jinsi ya kuokoa ,maana nyinyi ni wazoefu wa hii issue
 
Hta ukitoa mimacho mzee maziwa yapo, mnatuona wajinga sana sio eti mpka mnatudanganya wazi wazi[emoji1787][emoji1787]
Padoniiii[emoji2958][emoji2958]umesema masiwa ya kenya au mafii ya kenya
 
Ndugu zenu wanigeria magorofa yanawabomokea nendeni nailand foruum mkawaelekeze jinsi ya kuokoa ,maana nyinyi ni wazoefu wa hii issue
Basi nigeria mnawaeza kw lipi nyie mafukara wa kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…