Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ni bogus, tena lile Boga la njano.
 
Nick Mwendwa is the worst thing to ever happen to Kenyan football. This guy is a total joke. Kazi ni kubana sauti kama mbuzi aliyenaswa na chatu
Kwahiyo unatulilia sisi tufanyeje, tupake mate au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni kutaka kucritisize marehemu . Huu sijui utanzania wa wapi? Kila mwanadamu ana mapungufu yake sio busara kumuhukumu mtu haswa anapokua ametangulia mbele za haki.
Huyo anataka kuwaaminisha watanzania kwamba marehemu alifeli lkn shida inakuja, je lengo la TANESCO ni kuhakikisha umeme unawaka au kufanya maintenance!? Kama lengo ni kuhakikisha umeme unawaka basi marehemu alijitahidi sana mana hakukuwa na kukatika katika kwa umeme licha ya kwamba kulikuwa hakuna maintenance kama yeye anavyojinasibu kusema.

Haya ndio matatizo ya baba akiwa dokta basi lazima mtoto naye awe dokta, na ndiyo maana huwa naamini kwamba kiongozi bora huwa anazaliwa na wala hatengenezwi japo kutengeneza huwa mara chache inasaidia. Huyo hakufaa kuwa kiongozi japo babaake anapambana iwe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…