Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
GTC office 43 asante mchina
GTC hotel 35 asante mchina
prism 34
UAp 33
britam 31




TPA 40
PPF 37
pspf 35
pspf two 35
mzizima 35
mzizima two 33
MNF 30
MNF two 30
millenium 30
rita tower 30


alaf tunashindana nn hapa 😂😂😂😂😂
 
Na hayo majengo mengine zaidi ya 10 mliyoongopa pia ni mistake au mlikusudia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majengo zaidi ya kumi zipi? This is the updated list tukishatoa hizo zenye mnabisha na bado tuko na 40 wakati nyinyi mko na 25. Bado uko na jambo la kusema?
 
Ngoma inasoma 10-5 cc ndiyo ma king [emoji146] wa high rises hapa East and Central Africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
maish yao yote hawanipendi unajua kwann? kwasababu najua rangi za chupi wanazovaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 
Kapagawa [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kuna jengo flani liko pale CBD mama ngina aliwadanganya ni 33 kumbe ni 28 😂😂
Jengo gani hilo maana ninavyofahamu mimi Mama Ngina street halina jengo lolote la 28 floors wala 33 floors
 

Miaka yote tupo stagnant kwenye kujenga majengo na bado hawajatoboa, na misaada yote ya Matowers [emoji1787] kutoka 中央人民政府[emoji1787].
 
Mwenzako anasema 15 wewe unasema 19 so tumwamini nani?

Alafu hii ya GTC Residential (the one on the far left on your screen) unaona floors ngapi kaka?
View attachment 1990498
Mimi nimeona 13, hapa kwa kukusaidia tutachukua namba iliyokubwa 15, ila kisheria tulipaswa kuchukua "median" ambayo ni 14. Muhimu ni kwamba wote hakuna aliyefikisha 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…