Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Mimi nimesoma details za huo mradi ka mkubwa, sipigi nduru tu .. hizo residential apartments zote ni 28 floors..Kwa hivyo you can swear on your life that the building on the left has only 28 floors and not 31 na ubebe Bibilia/Kuran ukihapa hivyo?
View attachment 1990259
Leta tena ile list yako nikuonyeshe kitu, nina list ya buildings zenye zipo under 20 floors and you guys mentioned it, leta tena ile listIs that my list? Mbona umeacha nje jina ya aliyepost hiyo list? Sasa si unaona mbweha ni wewe!!
Kwahyo hizo ni floors.?Ni ngazi baba. Umeshinda, happy now?
Hebu tupe link ya mahali ulisoma hiyo taarifa. This is what I have been waiting forMimi nimesoma details za huo mradi ka mkubwa, sipigi nduru tu .. hizo residential apartments zote ni 28 floors..
Kojoa ulale sasa. Umechoka akili. This is the list I shared yesterdayLeta tena ile list yako nikuonyeshe kitu, nina list ya buildings zenye zipo under 20 floors and you guys mentioned it, leta tena ile list
1. Britam Tower - 31 floors
2. GTC Office Tower - 43 floors
3. UAP Tower - 33 floors
4. GTC Hotel Tower - 35 floors
5. Times Tower - 38 floors
6. Prism Tower - 31 floors
7. Le'mac Tower - 26 floors
8. GTC Residential Tower - 33 floors
9. GTC Residential Tower - 31 floors
10. GTC Residential Tower - 31 floors
11. GTC Residential Tower -29 doors
12. Teleposta Tower - 27 floors
13. KCB Plaza - 24 floors
14. 4th Ngong Avenue - 26 floors
15. Sanlam Towers - 20 floors
16. Nyayo House - 27 floors
17. Cooperative Bank House - 27 floors
18. National Bank House - 21 floors
19. Anniversary Towers - 26 floors
20. Uchumi House - 21 floors
21. Hazina Towers - 24 floors
22. ICEA Building - 21 floors
23. Lonrho House - 22 floors
24. Reinsurance Plaza - 20 floors
25. Sanlam Towers - 20 floors
26. AmBank House - 25 floors
27. University of Nairobi Tower - 22 floors
28. Viewpark Towers - 20 floors
29. Delta Corner Tower 1- 20 floors
30. Delta Corner Tower 2 - 20 floors
31. MJ1 Towers - 20 floors
32. FCB Mihrab towers - 25 floors
33. King's Distinction- 20 floors
These are the only ones I can remember though there are more than that
Sio shida zangu pita humu. πChinese firmβs Sh40 billion Africa hub takes shape in Nairobi.Hebu tupe link ya mahali ulisoma hiyo taarifa. This is what I have been waiting for
Si nishakubali ni ngazi ama hujaridhika?Kwahyo hizo ni floors.?
This building on the left is one of the residential towers. If you managed to count floors za Movenpick, why can't you do the sane here halafu uniambie umepata ziko ngapiSio shida zangu pita humu. πChinese firmβs Sh40 billion Africa hub takes shape in Nairobi.
1.Delta corner both towers ar 18 floors not 21..Kojoa ulale sasa. Umechoka akili. This is the list I shared yesterday
Unabishana na wenye mradi sasa.?This building on the left is one of the residential towers. If you managed to count floors za Movenpick, why can't you do the sane here halafu uniambie umepata ziko ngapiView attachment 1990262
Brochure ya Sanlam tower , Nashauri kila jengo lichunguzwe ipasavyo, Kamba nyingi sanaπ1.Delta corner both towers ar 18 floors not 21..
2.Sanlam tower is 18 floors not 20
3.ICEA building is 19 floors
4.movempic hotel is 15-16 floors not 21
.. hapo umetupiga fix gorofa tano kwamba zipo over 20 floors lakini no .. u Guys have only 28 buildings with more than 20 floors
Another LED advertisement screen has been mounted right opposite at Union Towers. This area around archives slowly replicating the idea of outdoor advertisements screens of Times Square NYC.
Mkunya akizungumza maneno 200, usichukue hata Moja, subiri afikishe maneno 500 ndio uchukue neno Moja, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1990249
Movempic hotel in Nairobi, kuna fala aliiweka kwenye list eti Ina 21 floors, njoo we Nicxie hizi ni 21 floors.? Sa mnaongea uongo Ili iweje.?
ConstructionKenya uliyoleta kama source of information ndio wenye mradi?Unabishana na wenye mradi sasa.?
Hebu hesabu hili jumba iko na floors ngapiMkunya akizungumza maneno 200, usichukue hata Moja, subiri afikishe maneno 500 ndio uchukue neno Moja, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawapendi kuishi kwenye uhalisia...yuko radhi adanganye ili atimize matakwa yake. [emoji23][emoji23][emoji23]Brochure ya Sanlam tower , Nashauri kila jengo lichunguzwe ipasavyo, Kamba nyingi sanaπ
View attachment 1990277
Kijana, ni wazi kuwa kushindwa ndio hampendi.List of tallest buildings in DSM (Over 20 floors)
1.TPA tower - 40 floors
2.PPF tower-37 floors
3.PSPF tower1 -35 floors
4.PSPF tower2 -35 floors
5.Mzizima tower 1 -35 floors
6.Mzizimatower 2 -33 floors
7.MNF tower 1 -30 floors
8.Rita tower 30 floors
9.MNF tower 2 - 30 floors
10. Melenium tower -27 floors
11. Uhuru height -27 floors
12. Umoja wa vijana tower -25 floors
13. PSPF Golden jubelee 24 floors
14. Sky tower -22 floors
15. Quality boulevard -22 floors
16. Viva tower -21 floors
17. Benjamin Mkapa tower -21 floors
18,NSSF mafao house -20 floors
19. Ushirika tower 20 floors
20. BOT tower 1 -20 floors
21. BOT tower 2 -20 floors
22.NHC building plot 927/19 -20 floors
23. City plaza -22 floors
24. Morocco square -20 floors
25. Treasure Victoria apartments -20 floors
Hajaibiwa mtu hapa hii ni list bila udanganyifu, unlike you kenyans wazee wa uongo mtupu.. 28-25=3 kama mtakua mko mbele yetu kwa majengo ya over 20 floors basi ni majengo matatu tu .. u ar here claiming ati ooh DSM haijengi tena magorofa while nyie mnaojenga hamna cha maana kinaonekana.. and you know what gorofa zote zilizotajwa hapo kwenye list Kariakoo imewakilishwa na gorofa moja tu (ushirika tower) .. jifikirieni tena manzee
Mkunya akizungumza maneno 200, usichukue hata Moja, subiri afikishe maneno 500 ndio uchukue neno Moja, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]