Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My friend your off context. Am talking about coal reserve. 5 billion T. We can generate electricity for many years my friend.
Nakuonesha kwamba, You guys don't have source of income and reserve of asset.
We have many assets my friend. You just count much liquid asset which can save you for short time.
Your country journey is short. You don't have vision. Madeni yenu ni makubwa sana sijui mtayalipa vipi.
 
hapa haudanganywi......ila unaambiwa ukweli........hiyo GDP yenu ni ya watu wachache mabwanyenye,matajiri wanasiasa wanaomiliki ardhi ya hiyo nchi yenu ila tukija kwenye uhalisia wananchi wengi wa kenya ni maskini......kupindukia[emoji23] [emoji23]

GDP per capita inamaanisha mishahara ya watu. Chenye watu wanalipwa au kupata kila mwezi na mwaka.
 
watu wa kuzurula CBD na bahasha za kaki halafu wakichoka wanaenda kuota jua viwanja vya uhuru park,wakisoma hiyo wanaweza forge hata uraia ili mradi wawe watanzania wajaribu bahati yao ya kuomba ajira LDC.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe umeona tu vitu kwa kichwa yako au ndotoni.....leta evidence bongolalian

Sent using Jamii Forums mobile app
eti most developed country.......did u know how developed country ni vipi wananchi wake huishi kwa kipato cha kiwango gani.....na huwa ina gape gani baina ya maskini na tajiri......how did u get it...u so lazy men
 
huwa nasema kila siku,wakenya kinacho wabeba ni uwezo wao tu kuandika na kuzungumza kingereza japo kwa kuunga unga.

ila academic wise wengi ni vilaza.hizo hesabu ulizopiga hapo,sidhani mtu kama kolo emeelewa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha even with such we arent LDC.......its true some Kenyan regions suffered neglect in The past but county governments now have their budgets

Sent using Jamii Forums mobile app
We don't have such thing in our country. Tafuta picha kama utaona hiz information
This here is school in Nairobi

Makina Self-Help Primary School (Nairobi)

School in Nairobi
 
look bro i work at Stima Plaza for Kenya power,I am not in the last mile project department,i am in another department.so i know what I am saying. we work together, I'll see if i can get you data
jobless wewe....acha kudanganya watu.
 
huwa nasema kila siku,wakenya kinacho wabeba ni uwezo wao tu kuandika na kuzungumza kingereza japo kwa kuunga unga.

ila academic wise wengi ni vilaza.hizo hesabu ulizopiga hapo,sidhani mtu kama kolo emeelewa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huo ndiyo ukweli..........vinginevyo hamna kitu.....wakenya ni poor for every things
 
We don't have such thing in our country. Tafuta picha kama utaona hiz information
This here is school in Nairobi

Makina Self-Help Primary School (Nairobi)

School in Nairobi
yaani wanapopaita jiji kuu la nairobi ndiyo kuna uchafu wa aina hiyo ....!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hey stupid kenyan what's a meaning of this in capital city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…