Hii ni kama Westlands District pekee. Dar commercial center ni ndogo sana. That's why almost all regional office for East and Central Africa zipo Nairobi.
kwa hiyo hiyo na hako kapicha kachafu low quality ya dar ndiyo imeishiia hapo?Kiswahili tupu, maneno empty.., Dar hii hapa developed area yake yote.., outside here nothing to measure up.., ama bado utapinga? [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila jengo la maana Dar ndani.., eti density kumbe wamesanya mijengo yao yoote sehemu moja.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] nje ni uswazi kote kote
View attachment 1978214
Fafanua maana ya sector ya usafiri? ama unadhani ni mabasi eti? 😂 😂 😂 😂 kuna rail, air na road yoote kwa ujumla ni sector ya usafiri.., wewe unamaanisha nini?.., na pia connectivity and efficiency.., Tanzania mtangoja saaaana..,hata hujielewi endeleeni kutumia hivyo vipanya mpaka mtokwe na vibiongo,,
kwenye sekta ya usafiri Tz tumewaacha wenzenu huwa tuna update public transiportation kulingana na mahitaji pia na mda,
unapanda public transiport hiace NAI-NAI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kenya ni vipanya Country
ushamba siyo mzuri,uwe unajiongeza ukiambiwa umepitwa kwenye sekta flani haimaanishi umepitwa kwa 100%Fafanua maana ya sector ya usafiri? ama unadhani ni mabasi eti? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna rail, air na road yoote kwa ujumla ni sector ya usafiri.., wewe unamaanisha nini?.., na pia connectivity and efficiency.., Tanzania mtangoja saaaana..,
Halafu mbona analeta story za BRT wakati hata hujapost wala kuzungumzia BRT buses hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, kindly share the recent upcountry bus terminal hapo Nairobi [emoji3][emoji3]
See this video buses dispatching at Magufuli Bus Terminal
Hivi unajua Vodacom Tanzania walibadilisha logo pamoja na rangi zaidi ya miaka kumi iliyopita!Hizi zinafika hadi Mombasa in 2021 nimeziona pale mwembe tayari stage ya dala dala za Tz, wamejaza mizigo hadi juu na watu ndani wanatoa jasho! wacha wewe..,
Kisha fahamu[emoji116] [emoji116]
Dar es Salaam’s new rapid bus system won international acclaim – but it excludes the poor
Daladalas stuck in traffic. CokeeOrg/Flickr., CC BY-NC-ND
Despite investments of US$150m for the first phase of BRT, the poor are still stuck in traffic on cheaper buses every day. By contrast, those who are wealthy enough to afford the higher fare have the option of cutting travelling time by two hours a day. Roughly 70% of Tanzanians live on less than 4,400 Tanzanian shillings a day, (that’s less than US$2). Yet a two-way commute along the main branch of the BRT would cost 1,300 shillings – that’s a staggering 30% of poor people’s daily income being spent on transport. By comparison, the same commute by daladala would have cost 800 shillings.
What’s more, the lack of jobs is a major problem in Dar es Salaam, as in many other metropolises in developing countries. Since BRT buses can carry more passengers than minibuses, about ten daladalas will be displaced by each BRT bus. This will have devastating consequences for the 20,000 to 30,000 people employed in public transport. There are currently no plans to address the fate of these workers.
BRT advocates commonly praise it as a financially self-sufficient bus transport system. But BRT in Dar es Salaam, as elsewhere in the world, is not sustainable without public subsidies – even with its current high fares. Whether or not the Tanzanian government is willing to subsidise the system remains to be seen. But in a country with very limited public resources, doing so would divert funding from other vital development needs.
Hivi unajua Vodacom Tanzania walibadilisha logo pamoja na rangi zaidi ya miaka kumi iliyopita!
Leo huchomoki. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hiyo inaitwa loong time kitambo utanieleza nini wakati huo wengi wa wakenya walio humu walikuwa hawajafika mjini Nairobi walikuwa villagespia plate numbers zote ni A.. hakuna B
Anafosi tufanane.pia plate numbers zote ni A.. hakuna B
Wacha nikusaidie.., hii yako ni which year, umeokota vitu mitandao kujiliwaza.., tuko 2021.., Nimewacha Kilimani, Ngara, Eastleigh, Mombasa road, Langata area.., Eastlands Na kadhalika nje., just a few developed area., Dar ni moja tu utanipea angles tofauti..,Really [emoji3]
Say that to someone who doesn’t know Nairobi
Attached is the entire Nairobi with Everything included View attachment 1978223
View attachment 1978224
View attachment 1978225
Vodacom sio issue, the point is those scrape metals bado zinatumika kwa wingi in Tanzanie even in 2021..,Hivi unajua Vodacom Tanzania walibadilisha logo pamoja na rangi zaidi ya miaka kumi iliyopita!
Leo huchomoki. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivo vipanya haviko Dar es Salaam hutaki nenda kalilie chooni.Vodacom sio issue, the point is those scrape metals bado zinatumika kwa wingi in Tanzanie even in 2021..,
How explain.., ama ni kampuni ya mabasi of which ni kwa muonekano wenu ndio unatumia kama kigezo? 😂 😂 😂 ., bro kulikoni.., fafanua nione elimu yako basi.., explain kiutaalamu sio kiushabikin wa vipicha..,ushamba siyo mzuri,uwe unajiongeza ukiambiwa umepitwa kwenye sekta flani haimaanishi umepitwa kwa 100%
mfano:usafiri wa majini tumewaacha mbali,usafiri wa barabarani tumewaacha mbali
Halafu mbona analeta story za BRT wakati hata hujapost wala kuzungumzia BRT buses hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukubwa wa Dar ni watu na udongo., sio meaningful developed area., ni vinyumba funny funny.., village type like 80% of the whole area.., .,kwa hiyo hiyo na hako kapicha kachafu low quality ya dar ndiyo imeishiia hapo?
kweli ni ndogo aisee,yaani nairobi ni kubwa sana imedevelop kinoma noma mazee
It has been 13 years since vipanya (hivyo vi hiace) kukatazwa kuingia mjini. More bans have been made since then.BRT na vi bus vichache visifanye ujifanye hauijui Tanzania wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha propaganda nani.., kuna matako pia licha ya wewe kuweka uso wa dar unajaribu kulinganisha na matako ya Kenya, weka uso vs uso ama matako vs matako..,
Sio kila sehemu ya Tz iko na buses and organized transport., na umeweka picha za zamani za Nairobi machakos country bus, it doesn't look like that today na mabasi mengine hapo left the game kitambo, hazipo tena [emoji23] [emoji23]
Tanzania kwa uhalisia..,
View attachment 1978191
vitu viko wazi hata wewe unajua,kama unaona unatosha kwenye hizo sekta nakupa home workHow explain.., ama ni kampuni ya mabasi of which ni kwa muonekano wenu ndio unatumia kama kigezo? [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., bro kulikoni.., fafanua nione elimu yako basi.., explain kiutaalamu sio kiushabikin wa vipicha..,
Ego na denial stage inamsumbua sana.Amechanganyikiwa na anaiwaza sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Soon ataanza kutajataja sgr, atcl nk
tafuta picha ya umbali kama huo kwa nairobi tucheke tuone poriUkubwa wa Dar ni watu na udongo., sio meaningful developed area., ni vinyumba funny funny.., village type like 80% of the whole area.., .,
Taswira ya Dar ni hii hapa., developed area in one place the rest ni makazi uchwara kwa wingi., though kuna estates za kifahari, nyumba za kilofa zimejaza mji kwa ukubwa.., Pengine Dodoma ndio itawakomboa, huu mji haukomboleki karne hii.., hiki kizazi lazima kiondoke.,
View attachment 1978249
Hii ndio picha ambayo mnakana eti sio slum..,
View attachment 1978255
View attachment 1978261
View attachment 1978263
They are still in use in Tanzania kwa wingi zaidi ya mabasi.., hilo ndio nataka ukane., the topic was transport in Tanzania na sio Dar ambapo unfortunately Tz ni Dar, ndio maana mmekimbilia kule kutafuta maisha sasa mmejaza ufukara kwa mji.,..,It has been 13 years since vipanya (hivyo vi hiace) kukatazwa kuingia mjini. More bans have been made since then.
Even Dodoma walifanya pia 2016.
Unakuja kuleta picha leo kujaribu ku prove a stupid point. This is low, even for you. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
That is a news clip for 2008. Nyie mpaka leo bado vinaingia CBD.
View attachment 1978258Vipanya Marufuku kuanzia Agosti 1
Hivi karibuni mamlaka ya kudhibiti usafiri wa nchi kavu na majini-SUMATRA imewataka wamiliki wa mabasi yanayofanya safari zake katika jijini kuhakikisha hawaagizi magari aina ya vipanya…. &bongo5.com