Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuwe wakweli Kuna fedha ilitumiwa vibaya pale Chato.Kuna mikoa Kama Lindi,Kagera,kigoma,Tabora bado haina stend za kisasa tena inahost mabasi mengi why ujenge wilayani Chato ambapo yanapita mabasi ordinary na ya Mashambani tu.
Kwani kuna kosa gani kutumia pesa vibaya ikiwa unaitafuta kwa bidii kuliko wengine magufuli alifanya kazi kubwa usiku na mchana hata angechota dola milioni 100 kuwa zake watz tungemwambia aongeze zaidi hata mara mbili ,kuna ubaya gani kumpa mchapa kazi wako mambo manono ,kama ingekuwa magufuli anafufuka kwa thamani ya dola $2bil tunge toa hizo pesa tumfufu hatunyoshee nchi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…