Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi sikuwa na bahati hiyo wakati naanza form 1 maabara za computer ndo zilikuwa zinajengwa basi nimekuja kujua internet baada ya form IV nilipata kabahati cha kufanya computer course BIDCO. From there onwards interest iliendelea kukua ila bahati mbaya sikuwa na basics nzuri, imagine ningekuwa exposed while niko darasa la kwanza!
 

Kwaiyo wewe unaamimi waajiriwa Wa serikali huwa wanakaa tu wanasubiria mshahara ?
 
Legacy gani? Tanzania bado ni third world country very poor. Magufuli did nothing.
Kavunja ngombe wenu CoW, kachukua bomba la mafuta toka UG, kafanya sgr moshi yenu ionekane obsolete hivyo kuchukua connection ya burundi, rwanda, congo, Uganda hadi south sudan na pia kaongeza maumivu ya KQ hivi ni vichache tuu ambavyi kenya ime suffer at the hand of Magufuli in just 5 years only but effect yake itakuwa felt in kenya for long years to come. Sasa bisha kwa fact sio mapovu.
 
Uchumu gani unaozungumzia an economy that cannot feed its people hiyo nayo ni economy? The gdp is good on papers now feed em those papers.
Hakuna kitu katika somo la economy linalosema a governmet(feed its people)..
Rudi shule tena mzee au wewe utuletee siku tz serekali imelisha watu
 
ndiyo maana nilipokuandikia hiyo post nilijua kabisa wewe ni kichwa maji nilijua kuwa fikra zako zitaiahia hapo hapo na ndiyo maana nikakuita zuzu[emoji23]
Umetoka mtupu[emoji1787][emoji1787]
Yani umeshidnwa ujibu nini, nenda mwana kwenda yani hapa kwangu sio rahisi rahisi ki hvo..
M mtu naenda naye kulingana na uhalisia wake, we ulikuja kijuaji nikakuweka sawa sasa naona sai unahaha
 
Kwaiyo wewe unaamimi waajiriwa Wa serikali huwa wanakaa tu wanasubiria mshahara ?
mi nimeishia kumcheka tu,dhumuni la kumtolea ile mifano hata hajajua ni nini na hiyo yote sababu ni kichwa maji...

ishu ilianzia hapa 1000kshs ambayo ni sawa na 20,000tshs nilikuwa najaribu kumpa picha kwa hizo pesa kwa tanzania na kenya zina thamani gani kimatumizi,yaani kwa kila nchi na pesa
 
Kwenye report ya hivi karibuni mama ameonekana kua possessed na Roho ya Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…