Sasa wewe jiulize Karne hii kuna nchi inapewa msaada wa chakula na nchi ambayo 93 percent ni desert 🤣🤣🤣🤣🤣🤣alafu eti mna pesaHawa jamaa wanaokolea na grants, donation na well wiahers..
Nchi haijiwezi ishajinyeaa
Pambana na timu yenu iliyokula 6 bila home and away [emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho wa siku hamna team ya east Africa itafuzu kushiriki kombe la dunia..sote tunasindikizana tu
Wanajipa maneno ya encouragement 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pambana na timu yenu iliyokula 6 bila home and away [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91] [emoji91] [emoji91]Madagascar wanatuwakilisha vizuri [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1970424
Kuna magroup 10.kwa hiyo Timu no 1 inapita sasa hivi.kwahiyo nchi 10 zitapita sasa hivi.kwa hiyo nafikiri nyie nchi 10 unapangiwa wako ili ipatikane nchi tano watakaoenda kombe la dunia.kwa hiyo sithani kama kutakuwa na mambo ya magroup tena.unaona mambo yalivyo Kwa hiyo tunaweza kufuzu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
Donations were given everywhere, even advanced countries received those Jack Maa donations. Again you are back at it with the land argument, even turkana people have parcels land and cattles.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah yaani zali la mentali lipo mzee tunahitaji amsha-amsha za maana mechi inayofuata ya Tanzania na DR Congo itakuwa Dar au Kinshasa?Hamna groups sasa hivi Timu 10 zinapita alafu unapangiwa Timu moja ukishinda unaenda kombe la dunia hamna magroup tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn we hua wapigwa vingapi
Ni Dar tunatakiwa tushinde alafu tutaongea na ndugu zetu Madagaska[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah yaani zali la mentali lipo mzee tunahitaji amsha-amsha za maana mechi inayofuata ya Tanzania na DR Congo itakuwa Dar au Kinshasa?
Ya Madagascar itakuwa Antananarivo sio? Jamaa wamekaa kivuruge wamefunga goli la kwanza dk ya pili halafu wakakamia kama mtoto wa ngama yaani ni mwendo wa kubutua!Ni Dar tunatakiwa tushinde alafu tutaongea na ndugu zetu Madagaska[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwisho wa siku hamna team ya east Africa itafuzu kushiriki kombe la dunia..sote tunasindikizana tu
NdiyoYa Madagascar itakuwa Antananarivo sio? Jamaa wamekaa kivuruge wamefunga goli la kwanza dk ya pili halafu wakakamia kama mtoto wa ngama yaani ni mwendo wa kubutua!
Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
wacha wivu wewe hata tusipopita tutatoka kiume! In a final sort of! Nyie ni mazuzu kwenye group lenu! Hata mechi zinazofuata mtakula goli nyingi tu! Mjaribu kujiepusha na aibu msipeleke timu!Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
huwezi kujua anything is possible imagine Madagascar imeifunga DR Congo tena walikuwa wanawapeleka puta! Football is about right strategy! Our women team has really been a motivation to men's team!
Kwenye WCQ U20 wamekula 10 kwa mbili.Wanajipa maneno ya encouragement [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mali kwa hali ilivyo hata kama kungekuwa na mechi nyingine iliyobaki na Kenya, Kenya wangegongwa dozeni!Group lenu you can at least help Unganda to the play off,
Since Kenya and Rwanda are underdogs, loosers, why don’t you do something for UG,
Provided that both of you are loosers, why don’t the both of you stop Mali?
Wazanzibar hawapendi kujiita wadanganyika lakini wanawaongoza tu hadi 2035 alafu wajitoe muungano after kuwaibiaView attachment 1970434