Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa unaweka picha za kitambo mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CBD haina hata blue towers, itakuwa Tz ya Mkapa hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Timu ya wanawake ya Tanzania imetwaa kombe la COSAFA 2021.

Kama nilijua tu, wkt mechi imeanza nikakukumbuka wewe na Simon nilikuwa kwenye gari nikasema hii timu itachukua ubingwa alafu nitapata matokeo toka kwa babayao255 au Simon na imekuwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hongera Twiga stars, hongera Tz [emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91]
 
Nyinyi kutumia ndege zetu ni ujinga yenyu,,,,nchi yenu kubwa ×2 ya yetu na bado Eti ndio mnaacha kutumia ndege zetu?ata kanchi ndogo Kama Rwanda inawashinda Eti😂😂😂mabongolala
 
Jamaa unaweka picha za kitambo mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CBD haina hata blue towers, itakuwa Tz ya Mkapa hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
daaaa!!!Mko na matatizo Sana 😄😄😄from covid denial to your residence denial
 
Nyinyi kutumia ndege zetu ni ujinga yenyu,,,,nchi yenu kubwa ×2 ya yetu na bado Eti ndio mnaacha kutumia ndege zetu?ata kanchi ndogo Kama Rwanda inawashinda Eti😂😂😂mabongolala
Wewe kumbe ni mpumbavu, Nigeria ndio nchi yenye GDP kubwa zaidi Africa, kwahyo nao ni wapumbavu kwasababu nyie mnashirika la ndege kuliko wao.? Yani umeshindwa hata kuona point ya msingi kwenye maelezo niliyokupa mwanzo.? Shule ulikua unapataga ngapi wewe.?
 
wewe ndio mpumbavu,,,unafikiria kununa ndege ndio full operation? Still many east Africans prefer kq over you and it will take time
 

Sioni ni kwanini Tanzania tusitoboe kwenye biashara ya Anga wakati nchi yetu ni top destination in the world, sioni kwanini tusitoboe wakati sisi pekee ukanda huu ndio tuna international airports 3 ambazo zinajaa ndege za moja kwa moja za abiria na sio ndege za misaada za UN kama jirani zetu wanaotegemea uwanja mmoja, sioni kwanini tusitoboe wakati nchi yetu ndio iko kwenye position nzuri kibiashara na hivyo kuwa na abiria wengi wa Transit. Sioni kwanini tusitoboe wakati biashara ya mizigo ina potential kubwa kwa kuwa na mizigo mingi ya exports kama nyama, samaki, nafaka na mbogamboga.

Ninachoona ni ongezeko la ukubwa wa Terminals zetu ili kukidhi ongezeko la abiria ambalo litakuja kwa kasi sana baada ya dunia kufunguka na sisi kuongeza idadi ya ndege. Naiona ATCL ikiwa ni giant kwenye biashara ya Anga Afrika huku mashirika mengine yaliyosafiria nyota yetu kuanguka vibaya. Naiona Tanzania ambayo ni kinara kwenye biashara ya usafirishaji na Logisticts Afrika. Muda unaongea.
 
Nyinyi bado mna operate Kama old stone people,,,unaskia wenzako washabikia kununua ndege cash na bado mnapiga loss😄😄😄
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…