Mulidanganywa na kenyatta ni ppp hebu nioneshe ni kiasi gani kenya imechangia kwenye huo mradi na ni kwan mchina ataimiliki kwa miaka 30 na kwann yeye ndio atakua mchukuzi wa toll fee🤣🤣🤣🤣🤣Sisi tunatumia very sophisticated financing models siku hizi PPP ambayo nyie hamjwahi kusikia. Mtakuja kutumia PPP baada ya miaka ishirini ijayo, wakati uchumi wenu utakuwa mature kama yetu.
Ukipenda unaeza ona hadi Lagos Nigeria, nobody is blocking you to see whatever you wanted to see.I see upperhill,westland and CBD 🤣🤣🤣
And who said kuoperate inamaanisha kumiliki? Just a reminder that ATCL doesn't also own any plane.kampuni ya India inayotengeneza magari ya TATA imepewa bid ya ku’operate’ Air India, lkn hatamiliki ndege hata moja ya Air India.. same to your KQ.. kuoperate 40 aircrafts sio kwamba zinamiliki zote
Umepanic budaa 🤣🤣🤣Ukipenda unaezaona hadi Lagos Nigeria, nobody is blocking you to see whatever you wanted to see.
nilikuwa sijaiona hii.. [emoji1319][emoji1319]
but kwann wajenge vitu viwili sehem moja.. stadium na arena.. si wajenge sehem tofauti..
wanataka kurudia yaleyale ya uhuru na mkapa stadium kuwa sehem moja
And who said kuoperate inamaanisha kumiliki? Just a reminder that ATCL doesn't also own any plane.
siku hizi hawapitii kenya,zile story zishakufa
Wewe na huyu nani mjuzi zaidi🤣🤣🤣🤣And who said kuoperate inamaanisha kumiliki? Just a reminder that ATCL doesn't also own any plane.
HeheheAnd who said kuoperate inamaanisha kumiliki? Just a reminder that ATCL doesn't also own any plane.
Labda amkatae waziri wao leo hii🤣🤣umeanza kuchanyanyikiwa sasa.. kwani ATCL ni ya marekani?? the owner is government 100% na ATCL ni governmental company!
Yani tunaelekea kumaliza mwaka lakini bado umebaki tu mjinga😂😂, kwa PPP sio lazima all parties watoe pesa. For the case of expressway China imetowa pesa while GoK has provided the land and also relocation of services along that route.Mulidanganywa na kenyatta ni ppp hebu nioneshe ni kiasi gani kenya imechangia kwenye huo mradi na ni kwan mchina ataimiliki kwa miaka 30 na kwann yeye ndio atakua mchukuzi wa toll fee🤣🤣🤣🤣🤣
siku hizi hawapitii kenya,zile story zishakufa
20 leasedHehehe
ATCL lease those plane from GoT, it's like taking money from your left pocket and put it in your right pocket.
Sasa for kq hizo ndege mmekodi kutoka wapi? Serikali yenu inamiliki ndege ngapi na shirika linamiliki ndege ngapi?
Out of 40 aircraft KQ operates, it owns 20. The remaining 20 are leased from wealthy individual Kenyans and also Kenyan banks. KQ also own more than 10 aircrafts in Jambojet.Hehehe
ATCL lease those plane from GoT, it's like taking money from your left pocket and put it in your right pocket.
Sasa for kq hizo ndege mmekodi kutoka wapi? Serikali yenu inamiliki ndege ngapi na shirika linamiliki ndege ngapi?
Munaelekea nyinyi au anaelekea mchina kumaliza na kuweka toll zake pale 🤣🤣🤣 uhehehe ndivo kenyataa alivowadanganya nyinyi kwamba ni ppp kwa mlango wa nyumaYani tunaelekea kumaliza mwaka lakini bado umebaki tu mjinga😂😂, kwa PPP sio lazima all parties watoe pesa. For the case of expressway China imetowa pesa while GoK has provided the land and also relocation of services along that route.
Ulidanganywa na nani🤣🤣🤣🤣🤣 labda aviation business huijuiOut of 40 aircraft KQ operates, it owns 20. The remaining 20 are leased from wealthy individual Kenyans and also Kenyan banks. KQ also own more than 10 aircrafts in Jambojet.
kama ishu ni plan ya trams.. wangeziweka uelekeo wa in straight direction ya hio trams.. ila kuwe na some distance.. mfano ni kama uwanja uwe pale morocco square afu arena iwe pale victoria au millennium tower
ila hakuna namna wenye wizara washaamua hivyo
Usijal hao ni bandugu....mpka speed sawa kbisaa[emoji23][emoji23][emoji23]wala usiumie bhnNaona swala la MGR kubaki MGR linakuumiza kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mgr ni mgr tu mzee..pole sana
Can you prove this?Out of 40 aircraft KQ operates, it owns 20. The remaining 20 are leased from wealthy individual Kenyans and also Kenyan banks. KQ also own more than 10 aircrafts in Jambojet.
[emoji7][emoji7]lakini tz mnajipenda sana.... yani, 22likes kwa hii barabara tu![emoji848][emoji848]. tena kwa hii hii thread 'Dar vs Nbi'.. ingekua sisi ingepata like mbili ama tatu ivi.. sisi hatujali saaaana.. View attachment 1968728