Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unajificha kwenye kichaka cha unajua ila hufuatilii [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1967388
Sasa kwa sababu nyie wenye kujua boli mmecharazwa pia, unataka kulazimisha ili tulie sote? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Harambee stars unawajua wewe, mbone hata wameenda ziara huko! 😁😁😁Fanyeni bidii wajuaji! 🀣
 
mko na madini kila mahali but your still a shit hole ldc country!!ushawahi jiuliza hizo madini zinaingiaga kwa mfuko wa Nani hama uko tu in love with ndii tweets???[emoji1][emoji1][emoji1]
Na usijiulize mko na GDP ya 100bil population 50mil ila mnakufa njaa ...ivi umesha jiuliza pesa mnazipeleka wapi?
 

Afadhali nyie mko na ushindi, Kenya tunapigwa kama burukenge.,4-0 first half[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…