Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu Nigeria ni propaganda tu haijawahi na haitowahi kuifikia Tz kwa level of development, wao wabaki na GDP ushuzi na ndugu yake wa damu Kenya, but kwenye maendeleo wacha kabisa mkuu.
Kumbe Nigeria nao ni uchafu kama kinga zilizovaliwa .? 😂😂😂.. me sijawahi kufanya tafiti zangu vizuri kuwahusu.. nashangaaga sana wanavyowekwa juu ya Egypt na SA
 
Hivi umaweza ficha cholera , hii ni hatari kuliko hii pandemic yetu ya covid 19
 
Hata Ghana pia ni kelele kama Kunyaland!
Mkuu tena hao Ghana ni uchafu kinoma, kitu wanaweza tushinda ni idadi ya wachezaji wao wa mpira kwenye ligi kubwa duniani basi.. Hizo Accra na Kumasi ni kama Mwanza na Arusha
 
How many people are in darslam and how many people use brt daily???Darslam have running sgr while Nairobi have running commuter rail with sjr project almost done utaniambia nini???
 
How many people are in darslam and how many people use brt daily???Darslam have running sgr while Nairobi have running commuter rail with sjr project almost done utaniambia nini???
Kwaakili yako unafikiri Dar haina commuter trains? Ona jinsi ulivyokuwa misinformed
 
Mkuu Nigeria ni propaganda tu haijawahi na haitowahi kuifikia Tz kwa level of development, wao wabaki na GDP ushuzi na ndugu yake wa damu Kenya, but kwenye maendeleo wacha kabisa mkuu.
Nigeria has Atlantic City,Lagos,Abuja and many more developed cities far than any town in that shithole
 
Kwaakili yako unafikiri Dar haina commuter trains? Ona jinsi ulivyokuwa misinformed
In a city with 7m+ people Hamna express way ya maana,hamna ata superhighways,Hamna ata malls za maana, universities za maana za kutajika Hamna,your national airline ikifika mbali ni Mumbai,world organizations hq za maaana Hamna!!!alafu mnapiga kelele humu hivi????
 
Kumbe Nigeria nao ni uchafu kama kinga zilizovaliwa .? [emoji23][emoji23][emoji23].. me sijawahi kufanya tafiti zangu vizuri kuwahusu.. nashangaaga sana wanavyowekwa juu ya Egypt na SA
Wanawekwa juu interms of GDP ushuzi, kuna tofauti kati ya maendeleo ya GDP na maendeleo kwa ujumla wake, hizo figures mara nyingi huwa hazi reflect uhalisia, ndiyo haya tunayoyaona ya Tz na Kenya.
 
Kumbe Nigeria nao ni uchafu kama kinga zilizovaliwa .? [emoji23][emoji23][emoji23].. me sijawahi kufanya tafiti zangu vizuri kuwahusu.. nashangaaga sana wanavyowekwa juu ya Egypt na SA
Edo kumwembe alipoenda Nigeria kwenye ile game ya Yanga alishangaa sana maisha ya Nigeria, ni uvundo kushoto kulia, mazingira ni ya chooni maeneo mengi.

Yani ukimleta mnigeria Tz kwake ni ulaya ndogo, maisha ni hovyo hovyo mazingira uchafu kila kona, alafu wapo wengi mno, mavibanda kila kona, tafuta ile makala ya Edo ipo humu JF.
 
Wanawekwa juu interms of GDP ushuzi, kuna tofauti kati ya maendeleo ya GDP na maendeleo kwa ujumla wake, hizo figures mara nyingi huwa hazi reflect uhalisia, ndiyo haya tunayoyaona ya Tz na Kenya.
Wewe unatumia kigezo gani kulinganisha uchumi wa nchi??
 
Ligi yetu imepata udhamini mpya, ila kuna huu ufala wa majina, mwanzo ilikuwa inaitwa Vodacom premier league, leo itaitwa NBC premier league ni upuuzi sn, kwnn tusiitafutie jina hii league? Mfano tuiite hata shamba la bibi pasipo hata kuiita league? Huu ujinga unachangia kuipotezea umaarufu ligi yetu inayokuwa kila kukicha. Viongozi hawaoni kuna sababu ya kuipa jina ligi yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…