Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe DSM unaijua???๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Siijui vile lakini kaka zako wenye kutoa real life kwa ground wanaijua, ama pia utawaruka useme ni wamsumbiji na wanyarwanda hao??? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
List of gangs in Nairobi ๐Ÿ™‚
Gaza -kayole
Takataka-zimmerman/
Usiku Sacco
Wagenge-korogocho
Lamba lolo-kisumu ndogo
Tsunami
Al Pacinos
Etc etc
๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
Mpaka majina ya nyimbo za gengetone! Umeisha wewe! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Siijui vile lakini kaka zako wenye kutoa real life kwa ground wanaijua, ama pia utawaruka useme ni wamsumbiji na wanyarwanda hao??? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Nimekuuliza wewe narudia tena DSM unaijua apart from maneno ya kuambiwa maana Mimi Nairobi naijua mitaa yote ya slums nimefika nikimaanisha easltands nashukuru kazi yangu ๐Ÿ™‚
 
Nimekuuliza wewe narudia tena DSM unaijua apart from maneno ya kuambiwa maana Mimi Nairobi naijua mitaa yote ya slums nimefika nikimaanisha easltands nashukuru kazi yangu ๐Ÿ™‚
Halooo, wabongo wakilia jua kuna jambo! Ni hayo tu! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Mpaka majina ya nyimbo za gengetone! Umeisha wewe! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃaisee majina ya Gangs za Nairobi ๐Ÿ™‚
 
Aibu ndogo unaijua kariadudu?,mandrakos, Balkans?,mowlem? K.c.c? We unafikiria nafanya guess work?
Hivi unawafahamu - Nyange Nyange, Vibaka wa Ukonga, Madereva wa Noah, Vicheche??? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hao wote wa Tz... Tena bado!
 
Hivi unawafahamu - Nyange Nyange, Vibaka wa Ukonga, Madereva wa Noah, Vicheche??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao wote wa Tz... Tena bado!
Peace index 2020
Tanzania 54
Kenya 124
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ