The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Bado wanajipa moyo kwamba cc ni saizi yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo nimepita hii mitaa [emoji116]ni hatari
View attachment 1954616View attachment 1954617hii road ni viwango vya Dubai kabisa.. Kenyans mnatuona tunavyowapiga bao kijuhudi kama chege
Kama hayajengwi kwa udongo mbn yanaporomoka kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]you people are just villagers uliwai ona wapi udongo ukijenga ghorofa???? your backwardness will kill you one day
Kenya magorofa yao kama ya UdongoIla Kariakoo ni kitu kingine bro acha masihara kabisa, idadi ya majengo ya gorofa yaliyopo Kariakoo pekee ni sawa na idadi ya majengo yenu ya gorofa kwenye CBD zenu zote tatu combined yatapishana thamani tu na urefu to some buildings in ur CBDs, ukibisha leo tutahesabu hapa.. hivi unajua gorofa karibu 80% za KK ni juu ya floors kumi.? I can assure you, Kariakoo ingekua imepangwa kama hako ka old CBD kenu, hizo (KK) gorofa zingekua zimetapakaa na ukubwa mara tatu ya NAIROBI View attachment 1954640View attachment 1954635
Kwa mfano 👇hii picha sio hata Kk Ila hapa kuna gorofa zaidi ya 30 na haya sio kama yele magorofa yenu ya udongoView attachment 1954638
Sio kama mkuu ni ya udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya magorofa yao kama ya Udongo
Hapa madam President amevunja rekodi by January madarasa 15,000 haijawahi tokea na by June 30,2022 vituo vya afya 250 ..
Kama hii Ndio test run,TZ has a nice future😂😂😂Just let's wait hehehehuyu lazima ni wewe mkifanya hizo TRIAL RUNS! kitu kilichoka, kikalala....... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
New Tz new era, tunawabaka jirani zetu, ofcz tuliwekwa EA kimakosa sana [emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1954898View attachment 1954899View attachment 1954901View attachment 1954903View attachment 1954904View attachment 1954906
Bado ipo U/C.Mbona wameacha earth pathway Wajapan nao? mchanga utaingia kwenye mtaro!