Nyinyi LDC twaulizana nini nyinyi? Ni hujuma kufananisha Nairobi na Dar is slumambao sio wanyonge wameshindwa kupambana na njaa now 7 monthsπππππ
Tulia sindano ikuingie weweShindaneni na hao wanyonge lakini si sisi
πππππππ njaa mumeshindwa kupambana nayo tukisema uchumi wenu uko kwenye karatasi unakua mkaliNyinyi LDC twaulizana nini nyinyi? Ni hujuma kufananisha Nairobi na Dar is slum
Nyinyi LDC twaulizana nini nyinyi? Ni hujuma kufananisha Nairobi na Dar is slum
Wapi kuna njaa? Hio ndio sababu ya kutotoka nje ya masenze huelewi chochote ni kupayuka tu kama mama wa sokoni kariakooπππππππ njaa mumeshindwa kupambana nayo tukisema uchumi wenu uko kwenye karatasi unakua mkali
vumilieni tu hii ni 2017
so unataka kutuambia kenya hakuna njaa sawaππππππWapi kuna njaa? Hio ndio sababu ya kutotoka nje ya masenze huelewi chochote ni kupayuka tu kama mama wa sokoni kariakoo
Nairobi-kisumu one way 3kKila kitu ni cheap in tanzaniaπππ
Kumbuka ni sawa na 3800ksh inclusive VAT of 18% kutoka dar to mwanza na kutoka dar to mbeya na kiliamjaro
View attachment 549226
Naona unatapika tu uongo na siasi nyingi za ccmso unataka kutuambia kenya hakuna njaa sawaππππππ
nioneshe nasubiria sasa hviππππππNairobi-kisumu one way 3k
sent from iPhone 7
nijibu basi unataka kutuambia kenya hakuna njaaπππππππ ccm imehusika vp tena hukuNaona unatapika tu uongo na siasi nyingi za ccm
Si 2012????? And only 36floorskakakuona tower to start anytime ππππππ bongo over 40fl
so unataka kutuambia kenya hakuna njaa sawaππππππ
Kuna airlines kama kumi..unajua Kenya airways pekee.nioneshe nasubiria sasa hviππππππ
2012 ilikua proposed and now inataka kuanza kakakuona tower ni hatariiπππππSi 2012????? And only 36floors
sent from iPhone 7
niletee basi nasubiri mbona huleti sasaππππππKuna airlines kama kumi..unajua Kenya airways pekee.
sent from iPhone 7
povuuuu babyππππππππHizo tower zinasaidiaje watu wa kiswahili shack dwellings who cover like the whole of Dar is slum. ..lol
Sent using Jamii Forums mobile app