Muhimu sana kuset regulations and terms kwenye eneo lenye share kubwa kwenye uchumi wa TaifaUmeongea point nzuri sana hapa mzee.
Ni kweli. Lazima tuwaze kwa undani iwapo some of these foreign investments zinakuja kuuwa our local industries au la. Sio kufungua milango tu kwa yeyote anayekuja bora ni Mzungu au Mchina. Tusishabikie hawa watu sana.Muhimu sana kuset regulations and terms kwenye eneo lenye share kubwa kwenye uchumi wa Taifa
Sio mbaya foreigners kuinvest lakini what kind of investment landscape, Marekani yenyewe auto manufacturers wengi sio wamarekani ni granted franchises but with core upper level production investment kwamba ni foreign companies lakini sharti lazima uzalishaji wa gari from the scratch utafanyikia USA na sio assembling plant
View attachment 1944503
Wa Africa alimradi muwekezaji kaja na fake over estimates zake kwenye ajira, kodi, kupendezesha mandhari and blah blah blah basi huwa tunafunguka kweli na tax holiday for 10+ years tutampa, free land, free permits, harmonized climate, levies and customs heven and other dumb packages
Kibaya zaidi hatuna hata memorandum of understanding followup programs kwa kile tulichokubaliana awali wala accountable clouses kwenye mikataba endapo havitakua realised what way forward,
Siupingi huu mradi lakini mambo ya muhimu ni vizuri kuzingatiwa
Nani kasema liuzwe[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]!!Wacha ujinga Dar inapanuka na huwezi kusema wauze lile eneo strategic! Nimesema DAWASA inapaswa ku-invest yenyewe! Ulikuwa upumbavu wa hali ya juu Polisi kuuza eneo la Oysterbay Police! Thamani ya lile eneo ingeweza kuipatia loan benki yeyote ile na ku-invest yenyewe! Hata Mungu wenu JPM alikandia deal Police waliloingia! Uko short sighted ndo maana akili yako inakuambia kuuza! Taasisi zinapaswa kujiwezesha kwa assets zilizonazo!
[emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115][emoji115]Umeongea point nzuri sana hapa mzee.
Sisi tunaofia wawekezaji katika nishati na madini na bandari na rasilimali zetu ,yaani tunawaofia wawekezaji wa kigeni wanao toa vitu vetu kupeleka kwao siyo wanao leta vitu vyao kwetuUmeongea point nzuri sana hapa mzee.
[emoji1787][emoji1787]washukuru mchina aliwaokoa sana kwenye majengoYani umeshasahau kichapo tulichowapa kwenye idadi ya majengo marefu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa unaongea kike sana acha kumshirikisha mungu kwenye upuuziWacha ujinga Dar inapanuka na huwezi kusema wauze lile eneo strategic! Nimesema DAWASA inapaswa ku-invest yenyewe! Ulikuwa upumbavu wa hali ya juu Polisi kuuza eneo la Oysterbay Police! Thamani ya lile eneo ingeweza kuipatia loan benki yeyote ile na ku-invest yenyewe! Hata Mungu wenu JPM alikandia deal Police waliloingia! Uko short sighted ndo maana akili yako inakuambia kuuza! Taasisi zinapaswa kujiwezesha kwa assets zilizonazo!
Imagine Majengo 6 si mchezo mkuu😀[emoji1787][emoji1787]washukuru mchina aliwaokoa sana kwenye majengo
Sema Europe of East Africa or Europe of Africa si eastern europe! Eastern Europe means vile vinchi vya Ulaya mashariki babu! wacha kuropoka...!
nyangau wanadhani ni MADARAKA DAY wameletwa na malori kuja kumsikiliza mlevi
Wewe unaifikia hyo Eastern Europe wacha upuuzi.Sema Europe of East Africa or Europe of Africa si eastern europe! Eastern Europe means vile vinchi vya Ulaya mashariki babu! wacha kuropoka...!
Ndo maana yake kiingereza najua unachotaka kumaanisha Europe of the East na eastern Europe ni vitu viwili tofauti! babuu...unachemka hapo!Wewe unaifikia hyo Eastern Europe wacha upuuzi.
Wewe mzee Geza Ulole wakati mwingine huwa unakuwa na mambo ya kipuuzi sana, hebu niambie hizi nchi unazichukuliaje wewe mzee.Sema Europe of East Africa or Europe of Africa si eastern europe! Eastern Europe means vile vinchi vya Ulaya mashariki babu! wacha kuropoka...!
Usifananishe Bongo na eastern europe Bongo ina-identity yake! Na kama unafanisha na nchi nyingine basi ziwe za maana! BTW kwa nn uiite Tanzania eastern Europe? Una ubwege gani?Wewe mzee Geza Ulole wakati mwingine huwa unakuwa na mambo ya kipuuzi sana, hebu niambie hizi nchi unazichukuliaje wewe mzee.View attachment 1944746