The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Mwaka wa kumi huu GDP ya Tz ni 60-65B ni usenge uliovuka mipaka na wenye kukera sana, Wakenya wote nadhani sasa watakuwa wanaelewa kwamba GDP ni usenge na ufirauni wa mzungu, tangu lini Tz ikapitwa na nchi za ******* senge kama Ghana? Hapo kiuhalisia Tz inapitwa na nchi za kiarabu na SA basi hao wengine ni ******* kama ******* wengine.sina uhakika kama hii ni official
ila GDP ya Tanzania sijawah kuielewa[emoji23][emoji23]
growth rate tunaambiwa ni above 4 or sometimes 6 lkn GDP ipo mulemule ndani 60-65[emoji23] it’s very fun thou
GDP ya Tz supposed to be larger than that of Kenya cz since it stacked at 60B never changed at all for at least ten years now, huu ni usenge usiovumilika, naomba wazalendo muwe mnawatagi hawa mbwa wanaohusika na hizi mambo especially international organization like WB and IMF.tuondoe na hili tu mkuu GDP is not edible [emoji23][emoji23] mengine tuwaaachie wenyewe.. cha muhimu tuna maisha mazuri, huduma za jamii ziko kila mahali [emoji23]
Mwaka wa kumi eti? 😂 😂 😂 😂 kuchanganya ujinga na upumbavu ni mbaya nani 😂 😂 😂 .., so in 2011 Tz ilikua $60 Billion economy? ata kama ni upunguani hii yako sasa ni zaidi man useless 😂 😂 😂 😂Mwaka wa kumi huu GDP ya Tz ni 60-65B ni usenge uliovuka mipaka na wenye kukera sana, Wakenya wote nadhani sasa watakuwa wanaelewa kwamba GDP ni usenge na ufirauni wa mzungu, tangu lini Tz ikapitwa na nchi za ******* senge kama Ghana? Hapo kiuhalisia Tz inapitwa na nchi za kiarabu na SA basi hao wengine ni ******* kama ******* wengine.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 nilikuambia uwe una fyata hausikii! 😂 😂 kulikoni Man Useless?.., yaani unatamani Tz iwe juu ya Kenya hadi unaota ndoto mchana, tafadhali wachana na majani ya bangi, sio mboga ni dawa ya kulevya 😂 😂 😂 😂 😂GDP ya Tz supposed to be larger than that of Kenya cz since it stacked at 60B never changed at all for at least ten years now, huu ni usenge usiovumilika, naomba wazalendo muwe mnawatagi hawa mbwa wanaohusika na hizi mambo especially international organization like WB and IMF.
Lamu imekosa waethiopia,Wasudani sasa mdau mkubwa ni Zanzibar geographia ya lamu na Zanzibar ni wapi na wapi hiyo white elephant.Thank you Zanzibar for being a loyal customer to Lamu Port.
Lamu imekosa waethiopia,Wasudani sasa mdau mkubwa ni Zanzibar geographia ya lamu na Zanzibar ni wapi na wapi hiyo white elephant.Thank you Zanzibar for being a loyal customer to Lamu Port.
Hivi hizi data za Tz ndio kusema zinabaki hapo hapo daily au kuna uzembe unafanyika serikalini ktk ku update data? Mbn serikali yetu ya kizembe namna hii, Dar haiwezi kuwa na popn ya 5mil only, tangu nianze kusikia hii ya 5mil ni mwaka wa tano huu, mara ukute 7mil yn kuna tatizo mahali, cz kwenye takwimu kuna kauzembe fulani nchi hii, huenda huwa hawaa update data.
Ebu achana na Sisi nini mbaya Tanzania hamuwezi ligi yetu🙄naipenda sana NAIROBI yangu,sisi wakenya tumeendelea sana kuliko nchi yeyote duniani,tunaishi maisha bora tuna pesa mingi venye tulivyo washap na hatutumii gari used zilizotumika miaka nane iliyopita pia kupakia magodoro,madumu juu ya bus zetu new model 2021 ni kawaida ni culture yetu yakisasa zaidi
in reality differView attachment 1943290View attachment 1943291View attachment 1943292View attachment 1943293View attachment 1943295View attachment 1943296View attachment 1943297View attachment 1943299View attachment 1943300
Hujielewi Kwa sababu sasa hivi kila kitu kimepanda ,tozo zimeongezeka,mama anasafirisafiri so Acha ujinga wa kuposti hizi vitu Kwa Sababu Watanzania washamkumbuka magufuliWatanzania waendelea kufurahia kifo cha magufuliView attachment 1943588
They saw it on Insta but they needed to come and earn their per diem as well.hehee
Kenya hongera..Tuangalie Takwimu za NBS zinasemaje Kuhusu GDP ya Tznsina uhakika kama hii ni official
ila GDP ya Tanzania sijawah kuielewa[emoji23][emoji23]
growth rate tunaambiwa ni above 4 or sometimes 6 lkn GDP ipo mulemule ndani 60-65[emoji23] it’s very fun thou
Umeshaambiwa gdp on paper kama hai reflect on the ground ni useless sioni cha ajabu hapo.very funny [emoji38]
Kenya GDP growth rate: 7.6
View attachment 1943509
Tanzania GDP growth rate: 2.7
View attachment 1943510
I’m not an economist.. no comment
Wewe na nani mnamkumbuka Dhalimu Mzilankende? 😃😃..Hujielewi Kwa sababu sasa hivi kila kitu kimepanda ,tozo zimeongezeka,mama anasafirisafiri so Acha ujinga wa kuposti hizi vitu Kwa Sababu Watanzania washamkumbuka magufuli
Explain why kenyan economy which was $78bn in 2019 at growth rate of 3% leaped to $97bn in 2020.Jifunze hesabu, ile basic, before other factors that are put into consideration..,niulize when did Tz cross from $50sB to $60sB?..,
understand growth rate ya 6% or 7% on a 55B is too small in comparison na 2% ya $500B economy., ama 6% growth kwa economy ya $60B ni kidogo sana ukilinganisha na 6% kwa $85B.., the reason a bigger economy ina grow kwa gap kubwa ukilinganisha na small economy..,
Rwanda GDP ni 1$0B., uchumi unakua na between 7% na 10%., but hiyo 10% yao ukilinganisha na 5% ya Tanzania, hakuna kitu!..,
10% of $10B (Rwanda) = $1B
4% of $60B(Tanzania) = $2.4B..,
Wazee wa Legacy watapinga ,watakwambia mama anasafiri Sana 😄😄wazo zuri sana.. [emoji1319] cha muhimu usafi