Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Am speechless kweli Tanzania kubwa

Hii kambi ya wakimbizi Nyarugusu Tanzania wanaishi maisha mazuri kuliko 80% of Kenyans

Wanajivunia sana kuwa Tanzania, nimeangalia kambi ya kakuma na kulinganisha na Nyarugusu ni chooni na mbinguni

Kiswahili wanachoongea hata wakunya wa Mombasa hawawezi pia nimeona wanapenda zaidi kuitwa watanzania kuliko hizo nchi wanazotoka

Actually nchi zao zote kwa sasa zina amani lakini wanaishi Tanzania kambini sababu maisha ya Tanzania kambini ni mazuri kuliko maisha ya uraiani nchi zao

 
Mkuu mm ningekuwa mkunya ningeku mind sana mana huwa una maneno fulani yanayokera na kuuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You are the only foolish person here, you are connecting the villages but not houses. When it comes to houses connected to electricity then Tanzanian connectivity rate stands at 37%. And that's why even your government said that only 2.7M customers are connected to electricity in Tanzania.
 
Mkuu mm ningekuwa mkunya ningeku mind sana mana huwa una maneno fulani yanayokera na kuuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mkuu sio wanawake wa Kibera na mathare hawawezi kuwa na haya maisha na Muonekano wa wakimbizi wa Tanzania bali hata wa posh estates za Kunyaland hawawezi fika hizi levels za refugees wanaoishi Tanzania πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Watanzania wana comment kwa uchungu na hasira πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , wamebanwa kote kote so ni kulia lia tu humu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Tanzania finywa kabisa hadi kiama, πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jibu hamna, facts zero.., vioja tupu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Utopolo wa kujiliwaza.... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Utopolo wa kujiliwaza.... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wanatia huruma, pumzi iliwaishia kitambo sana.., trying to console themselves., pigeni kabisa with concrete facts, , no mercy in battle πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ukweli ndio dawa ya mitanzania
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
naipenda sana NAIROBI yangu,sisi wakenya tumeendelea sana kuliko nchi yeyote duniani,tunaishi maisha bora tuna pesa mingi venye tulivyo washap na hatutumii gari used zilizotumika miaka nane iliyopita pia kupakia magodoro,madumu juu ya bus zetu new model 2021 ni kawaida ni culture yetu yakisasa zaidi

in reality differ
 
Utafkiri kabul πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kakuma on fleek πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 1943276
NYARUGUSU REFUGEE CAMP ON FLEEK!!! 😬😬😬(Western province of Kigoma, Tanzania)





My take - Tanzania = North Korea(wanatesa, wanateka na kuwalazimisha watoke Bongo, hao wakimbizi??? πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈAlafu fala ya mtu anasema wakimbizi wanajivunia kuwa nchini Tz na hawataki kurudi kwao, ila chini ya maji... Kwa ground vitu ni different! 🀣 🀣 🀣 🀣
Pathetic nation, savages, inhuman, kudadadeki! Njooni mnipige sasa! 🀣
 
Kwani hapo ni Kandahar, Afghanistan?
 
Kakuma ni hellpit
Nyarugusu WiFi bure everywhere, decoders kila nyumba 😁

Kakuma sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…