Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

okay i get your point. Dar is paved in every corner ,congrats ,step in the right direction.
Not every corner we check on the quality some of the Chinese contractors need heavy supervision they can mess you up, even the engineers must be answerable for low quality roads.
 
ujue hawa wakunya walio humu wanaweza kuhisi ni utani wanachosema wenzao ,kumbe in future huo ndiyo ukweli na ndiyo reality,,

tuwape mda
Lisemwalo lipo kama halipo siunajua mkuu,Ila inauma Sana🀣🀣🀣🀣🀣
 
Subiri muda ndiyo jibu
 
Unaposubiria wengine wafanikishe ndio uone inawezekana unakosea. Wangetangaza kuomba msaada wa mawazo kutoka kwa wananchi waone kama litashindikana. Shida ni kwamba uwezo wao wa kufikiria ukishafika mwisho wanaishia hapohapo. Ukipeleka wazo la kuachieve ishu kama hizi wanataka uwe na pesa ya kuwahonga
 
Kumbe hujanielewa hata kidogo.
Process zinakua hivi, Wanatumia sensa waliyokua nayo then:
1. Kila mtoto anaezaliwa anaulizwa birth certificate kila anapopelekwa clinic ili kuforce uandikishwaji wa watoto na kupata ingizo jipya kwenye idadi ya raiwa waliopo
2. Mtu kabla hajazikwa taarifa zake zifikishwe serikali za mitaa au halmashauri au level yoyote itakayokua rahisi kufikika.
Hizi process zitasaidia kutract idadi ya watu kwa office husika hapo juu kuwa na wajibu wa kuzijaza taarifa wanazopata kwenye system.
Huo ni mfano tu. Naamini ukishirikisha mawazo ya raia au hata wanafunzi wa chuo unapata solution sahihi kwa nchi yetu
 
Ila nyie kima sijui mko na mavi kichwani badala ya ubongo..Sensa ndio inaanza mwakani au?

Hili ni zoezi muhimu kwenye ustawi wa nchi na hufanyika kila baada ya miaka 10 sasa sijui nyie pimbi mnatakaje
Wewe ndio ubongo wako umeoza kabisa ndio maana mawazo yako yanabaki kwenye confort zone. Ndio maana mtu kama Magu mwenye kufikiria outside the box ukashindwa kumuelewa kwa sababu ubongo wako hauna uwezo wa kudigest ideas zake
 
Teknolojia ilikuwepo hiyo miaka unayoisema? Ndio maana nasema umejaa mavi kichwani,kuanzia mwaka huu ndio data base itakuwepo rasmi
Miaka 12 iliyopita technologia ilikwepo sema kiongozi alikua yule boya mwenzako mwenye ubongo uliooza kama wewe. Na ntaibookmark hii post yako kama nature itaendelea kuvumilia miozo kama wewe miaka 12 ijayo ntakukumbusha uone kama hawajaendelea na upuuzi huuhuu wa sensa
 


MY TAKE
Wastage of resources Yanga hii inayoenda kutolewa round ya kwanza CAF ndo inaenda kutangaza Utalii? Kweli? Kumbe matangazo ya bure! πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ€·β€β™‚οΈ πŸ€·β€β™‚οΈ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…