Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajilisha upepo bure,vumilia yupo hadi 2030..

Matatizo ya wananchi yule dhalimu aliyamaliza achilia mbali kuyapunguza?

Basi mnavyomtajaga yule Hayawani utadhani ndio aliseti standards za uongozi,huwa nawadharau Sana.
 
Thanks for Wikipedia. The witch society really appreciate your efforts.
 
Hivi kina mtu ana connection name hawa watu wenye mabasi yenye vyoo ndani. Yani hata list ingenisaidia. Natafuta soko ya dawa za kusafishia portable toilets za kwenye mabasi, treni na boti.

Yani hata list ingenifaa ili nijue pakianzia ni wapi

NOTE: Kwabasi ya Tanzania tu.
 
This article is right, only 10% of Kenya's roads are paved. Now go back and search for total road network in Kenya.
 
This article is right, only 10% of Kenya's roads are paved. Now go back and search for total road network in Kenya.
Alafu nafurahi unapokubali kwamba wewe ni mnuka mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…