Huyu ni Mkenya anayejifanya Mtanzania hahahaa.Nimeishi Nairobi zaidi ya 10 years. Ni kweli Nairobi wametuzidi kimiundo mbinu ya barabara. Network ya barabara ya mjini iko very beautiful and smart.
Dsm, well tunakomaa. Hatuko vibaya. Kuna sekta tupo vizuri sana. Reli ya SGR ikimalizika nadhani tutaweza kuvimba kidogo. Network ya UDART nayo ni interesting hasa hizi njia mpya zinazofunguliwa.
Kwa majengo we have no doubt about dsm. well, I can say tuko 50 50 na Nrb. Thanks to NSSF wanaojenga migorofa mirefu na yenye ubora flani.
Social amenities kama vile tuko 50 50. Japo waTz hatujui kujivunia vyetu. MNH na facilities zinazoanzishwa pale ni kipengele. Nairobi pia they have incredible hospitals.
Malls za DSM zipo classic japo business ya supermarkets dsm haikui kulingana na culture yetu waTz. Ukweli ni kwamba Nairobi wametuzidi kwa huduma ya supermarkets. We can brag with malls around ila bado hatuwezi compare na Nairobi.
Hatuna game reserves ndani ya jiji la Dsm kama Nairobi. Advantage yetu ni coastline ambayo inatufanya tuvimbe kidogo na coral and marine life along. Sure, Kuna kigamboni connectivity ya ferry. Nairobi hawana.
Nairobi kuna expensive places kama Lavington, Kileleshwa, Langata n.k hata DSM zipo. Masaki Oyestrbay na Avic Town ni places za kujivunia.
Just in t kama nimesahau au kuzidisha kitu. I stand to be corrected.
Sioni tatizo kwann Yapi Merkezi aogope open tendering! Mtoto wa Kiislam Asipende vya kunyonga! Ni haram!! Otherwise anataka kutupiga!! Nimependa sana idea ya ku-combine LOT3 na LOT4! Yaani inampa mkandarazi room to manouvre na kumpa hauweni pia kibiashara na pia kutupa sie room to negotiate lower costs in sincerity! Yaani one for all ukileta tamaa imekula kwako! ๐ ๐ ๐ ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธkuna watu wamechukulia ukimya wangu na kutaka kufanya wanayotaka kufanya wao by Samia.. Hao wawili TRC na PPRA ni wanaselele tu [emoji23] wanacheza ngoma wanazopiga wenyewe.. Decisive order ipo kwa Waziri Mbarawa (now), then Cabinet then Rais.
Hyo ni youtongNaona Mercedes Benz ya Garissa sio! [emoji28] [emoji28] [emoji2297] [emoji2297] [emoji2297]
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuyu ni Mkenya anayejifanya Mtanzania hahahaa.
Sheria ya manunuzi ya uma inaruhusu both competitive bidding na single source procurement it depends na situation on the ground even me I would favour Yapi Merkez kwasababu quality ya kazi yao nineiona, pia consultant wake Korail tunafanya kazi nae pia mobilisation period itakuwa ndogo cause wako established hapa na pia to avoid technological differences ambayo itasaidia kupunguza gharama kwenye servicing ya hii infrastructure.kuna shida kubwa kwenye hii ishu ya Lot 3&4 SGR
more papers
View attachment 1938722
View attachment 1938723
huyu kadogosa ajiangalie.. kama ana support ya mama atabaki, otherwise atafekwaView attachment 1938746
View attachment 1938741
View attachment 1938742
hapa kuna taasisi mbili zinashindana.. mmoja anafuata sheria mwingine hafuati sheria/utaratibu
Both side wanahoja, personally I would prefer Yerpi.. Kwa Maoni yangu wasiowataka Yerpi ndio wanafasi kubwa ya kuwa wamepokea Rushwa either ya Wachina or Watu wengineSheria ya manunuzi ya uma inaruhusu both competitive bidding na single source procurement it depends na situation on the ground even me I would favour Yapi Merkez kwasababu quality ya kazi yao nineiona, pia consultant wake Korail tunafanya kazi nae pia mobilisation period itakuwa ndogo cause wako established hapa na pia to avoid technological differences ambayo itasaidia kupunguza gharama kwenye servicing ya hii infrastructure.
Dar has seven operational berths.Point of correction, I totally agree Mombasa port is bigger than Dar, but Dar port currently has 11 berths and not less than that
That's packing area for individual companies.Hiyo ndio Bus Station yenu dah [emoji50]
Mbona inafanana na buses za country bus?๐๐๐. This is the worst picture I have seen today.
Yani with all the noises you were making here kumbe mko tu na average buses๐๐
You have now resorted back to making noise, just post pictures which you think can rival what I'm posting.Simba? Bora ungesema modern coast,mash poa na dreamline ambazo uki minus Kenya mnabaki na scrapers ๐
Tanzania itangoja sana. Please enjoy the beauty of Mash.
Nyinyi mmezoea vitu vya hivi๐๐๐๐Mbona inafanana na buses za country bus?๐๐๐. This is the worst picture I have seen today.
Umeshakunya mavi kwa mfuko leo au bado?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimeishi Nairobi zaidi ya 10 years. Ni kweli Nairobi wametuzidi kimiundo mbinu ya barabara. Network ya barabara ya mjini iko very beautiful and smart.
Dsm, well tunakomaa. Hatuko vibaya. Kuna sekta tupo vizuri sana. Reli ya SGR ikimalizika nadhani tutaweza kuvimba kidogo. Network ya UDART nayo ni interesting hasa hizi njia mpya zinazofunguliwa.
Kwa majengo we have no doubt about dsm. well, I can say tuko 50 50 na Nrb. Thanks to NSSF wanaojenga migorofa mirefu na yenye ubora flani.
Social amenities kama vile tuko 50 50. Japo waTz hatujui kujivunia vyetu. MNH na facilities zinazoanzishwa pale ni kipengele. Nairobi pia they have incredible hospitals.
Malls za DSM zipo classic japo business ya supermarkets dsm haikui kulingana na culture yetu waTz. Ukweli ni kwamba Nairobi wametuzidi kwa huduma ya supermarkets. We can brag with malls around ila bado hatuwezi compare na Nairobi.
Hatuna game reserves ndani ya jiji la Dsm kama Nairobi. Advantage yetu ni coastline ambayo inatufanya tuvimbe kidogo na coral and marine life along. Sure, Kuna kigamboni connectivity ya ferry. Nairobi hawana.
Nairobi kuna expensive places kama Lavington, Kileleshwa, Langata n.k hata DSM zipo. Masaki Oyestrbay na Avic Town ni places za kujivunia.
Just in t kama nimesahau au kuzidisha kitu. I stand to be corrected.
Nimekuuliza umeshakunya mavi kwa mfuko? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu ukilinganisha Vituo vya daladala, Nairobi wanatumia namba kutambua routes zao. Mfano route 134. DSM hata sijui tunatumia nini ila zaidi rangi ambazo pia zipo Nrb na barabara mfano Pugu road.
All in all we are almost the same. Daladala za Nairobi nyingi ziko pimped na mziki mnene. Kuna routes DSM hautamani kupanda hizo daladala. Nenda route ya Gerezani-MwanaGati
tena mabasi yetu ina cruise kwenye mabarabara mazuri zaidi katika huu ukanda, ilhali zao inaboronga kwenye rough roads ikielekea eti kwenye 'mikoa'Some fools will say that they travel a lot while in real sense Kenyans travel more than them ๐๐๐
View attachment 1938525
View attachment 1938526
Nakuambia hii sector nyie bado Sana๐ hizo rangi Tu๐Tanzania itangoja sana. Please enjoy the beauty of Mash.
View attachment 1938983
View attachment 1938984
View attachment 1938985
View attachment 1938986
View attachment 1938987
This is one of companies using country bus, this is how your buses looks like.Nyinyi mmezoea vitu vya hivi๐๐๐๐
Huwez kubali kuwa bado mpo chi๐๐
View attachment 1938988
So umechange gear to rangi?๐๐๐Nakuambia hii sector nyie bado Sana๐ hizo rangi Tu๐View attachment 1939003View attachment 1939010View attachment 1939011