Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo hata mchoro ndio huelewi kusoma, vodafone ndiyo locals au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenyan GDP is now officially $102bn after rebase in 2021 comments ziwe fupifupi tafadhali tukiainisha na previous GDP
 
Kwahiyo hata mchoro ndio huelewi kusoma, vodafone ndiyo locals au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1931157
Wewe ni mjinga kweli, how can Vodafone be locals in Kenya😂😂😂. Najua mnatumia asilimia mmoja ya akili zenu lakini hi yako ni chini ya moja🤣🤣😂
 
mnakumbuka yale maneno ya kuhusu hela alizoonyesha humu... design ya maneno yaleyale karudia hapa


hii table hapa chini inaonyesha zaid ya 60% ya free float shares zimechukuliwa na foreigners.. lkn onyago kutoka sijui kisumu au wap huko kwenye njaa anakuambia 96% ya free float shares ni za kenyans




okay, tukirudi kimahesabu ile 25% ya free shares... zaid ya nusu yake (ie 13%) ni ya foreigners
 
Stupidity will kill you one day. From this your figure inaonekana tu vizuri locals own more than 60% in the free floating category.

 
pole kwa KO uliyopigwa.. umekuwa mpole sasa! haya kakojoe ulale sasa
From this picture it's clearly visible that Kenyans hold more than 60% in the free floating shares. Sasa nataka uite yule mjinga alikuwa anasema Kenyans only have 3% in the free floating shares🤣😂😂

 
do you even try to be stupid or it just comes naturally to you? but then again it's you right to be an idiot
 
na yule aliesema 96% of 25% free shares belong to kenyans tumuite nan??
96% nilitoa kwa website ya Safaricom Hadi nikaleta link. But because mnataka tutumie hii picha then let's do it. Kenyans hold more than 60% in the free floating shares.


So Kenyans shares in Safaricom are as follows.

GOK 35%
Kenyans 15%

Conclusion. Safaricom is 50% owned by Kenya.

 
Hehehe Vodacom Tanzania is fully owned by foreigners 😂😂😂



Vodacom Tanzania Stock Ownership
RankName of OwnerPercentage Ownership
1Vodacom75
2Government Employees Pension Fund of South Africa7.3
3Institutional Investors (East Africa)11.2
4Institutional Investors (Rest of the world)2.3
5Others4.2
Total100.00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…