Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakuu hivi road ya kimara-kibaha high way ile rami ya zamani ya katikati inamaana hawatofumua na kuweka rami mpya?..
maana sieleqi
 
Wapo bize wanafurahia eti safaricom is most profitable company in Ea wakati wanalaliwa, bongo hapa huwezi kufanya huo utopolo na bado bei ya vifurushi inaenda kushuka zaidi
Tulishaelewana kuwa bei za bidhaa haiezifanana kati LDC na middle income country 😂 😂😂. LDC countries like Tanzania mnauziwa vitu cheap juu hamna pesa, take a look at this table, 93% of Tanzanians are worth less than $10,000😂😂😂

 
Mbona mimi nanunua GB 1 kwa 1k only lakini hapo wameandika 1700?
Hapo ndio unapogundua mambo mazuri ya bongo hayajulikani nje ya bongo. Mfano mimi hua natumia bando la Halotel $1.29/TZS3000@3GB kwa mambo ya kawaida na AirTel $2.16/TZS5000@5GB Kustream na issue serious. So kwa fact hapo ilitakiwa tue wa pili
 
Hapo ndio unapogundua mambo mazuri ya bongo hayajulikani nje ya bongo. Mfano mimi hua natumia bando la Halotel $1.29/TZS3000@3GB kwa mambo ya kawaida na $2.16/TZS5000@5GB Kustream na issue serious. So kwa fact hapo ilitakiwa tue wa pili
Tanzania Internet ipo cheap sana zaidi ya ranks zinavyoonesha sababu tuna companies nyingi options nyingi

Ila wakunya Mzungu anawalalia kichizi na wanafurahi sana wanapoona namna walivyotapeliwa na Mzungu safaricom 😅😅
 
huku Lake Tanganyika ndo Tanzania tunajenga meli kubwa za abiria na mizigo? A win for Tanzania too!

Modernization of port of Bunjumbura along Lake Tanganyika [emoji116]
-Mizigo ya Burundi kutoka Dar port nadhan itapitia huku
-Na Burundi walipewa eneo la ICD pale kwala dry port Pwani
 
president kenyatta ametangaza baa la njaa kenya ahahahahaha, wazee wa GDP isiyo wasaidia, tukiwaambia wanaonufaika na uchumi wa kunyalandi ni wachache sana hawaamini wanamsubiri Masihi aje kuwaambia. Kenya economy is not inclusive!
Why tangaza baa la njaa while they are middle income country they can import sufficient good from elsewhere since GDP is big they can surely afford au mimi ndio sijaelewa kitu hapa?
 
Hii kauli ingetolewa na Magufuli, vyombo vya habari vya Kunyaland na vingelipuka[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Why tangaza baa la njaa while they are middle income country they can import sufficient good from elsewhere since GDP is big they can surely afford au mimi ndio sijaelewa kitu hapa?
Hiyo gdp yenyewe 90% ni madeni, hawana ubavu wa kununua chakula bila misaada

Kunyaland wana bahati sana wapo karibu na Tanzania at least wanapata cheap food na ndio maana mikoa yenye njaa ni ile ipo mbali kutoka Tanzania

Mikoa kama kajiado na yenyewe ni jangwa tu lakini husikii sana wakifa na njaa sababu wapo karibu na Tanzania.
 
Hawa kiboko yao ilikuwa Magu tu, angewakazia kwenye kuuza alafu angewapelekea msaada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kunyaland= Njaa Country[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hatujawaambia watusaidie.....alaf nikama mtu hua kua news ya Kenya daily.....badala mtu akodeshwe n shinda yake anakodeshwa na Kenya akitaka i fail
Acheni ujinga, ni aibu kwa nchi kuzungumzia njaa baada ya miaka 58 ya Uhuru, eti mnataka kujilinganisha na Tanzania,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…