Pole sana chief, wish you a quick recovery.dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Pole sana kamanda 🤝.dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Nadhani mwezi huu ndio jiwe la msingi litaweka Kwa hiyo Lot 3.
President atakapoenda ukanda huo kwenye hiyo ziara yake may be atazindua na ujenzi wa hicho kipande.
Yes, zote mbili Kwa mkupuo. Inakuwa lot 3.Zitapigwa mbili kwa mkupuo
Yes, zote mbili Kwa mkupuo. Inakuwa lot 3.
Mkandarasi nadhani pia tayari. Ni kuzindua na kuweka jiwe la msingi tu.
Wenyewe wanaita shuttleHili gari ukipanda unaweza kuwashwa na upupu!
shukran sana chiefPole sana mkuu.
ni kweli kabisa mkuu,shukran sanaPole sana mkuu . Hakuna mkono wa mkunya hapo....jokes , inabidi uwasikilize wataalamu hili upone haraka
shukran sana mkuuPole sana mkuu
Allah akufanyie wepesi upone haraka In shaa Allah
shukran sana mkuu boda boda ilinivaa ikaniingiza main road kisha gari nayo ikanivaaAiseee ni bodaboda au? Pole sana mkuu and get well soon.
shukran sana chiefPole sana Mkuu, na Mshukuru Mungu kwa Kukunusuru. Welcome back to life .
shukran sana mkuuDuh pole sana bro
shukran sana mkuuPole sana ndugu yetuuuu
Nadhani mwezi huu ndio jiwe la msingi litaweka Kwa hiyo Lot 3.
President atakapoenda ukanda huo kwenye hiyo ziara yake may be atazindua na ujenzi wa hicho kipande.
shukran sana kakaPole sana kaka.
shukran sana mkuuPole sana ndugu
shukran sana mkuuPole sana mkuu, kwakua umepewa uhakika wa kupona tumshukuru Mungu