Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hqwa jamaa wabishii kwelii sasa anambania Uganda ili iweje wakati hajitoshelezii mm hata siwaelewi ndio maana jpm alikua anawakomalia hawa kamongo, watu hawajitoshelezi kwenye kuzalisha chakula alafu watu wao wanakufa na njaa ila kutwa kukaza fuvu tuu
 

hapo utakuta cabinet secretary ameingia mkataba ku-import sugar toka nje! Unakumbuka ile ya scandal ya sukari toka Somalia iliyokuwa na mercury ndani yake!
 
hapo utakuta cabinet secretary ameingia mkataba ku-import sugar toka nje! Unakumbuka ile ya scandal ya sukari toka Somalia iliyokuwa na mercury ndani yake!

Eeh we unadhani kuna lingine zaidi ya iloo hao wazee wa ulaji na wivu
 
Jengo lingine limeporomoka leo.


Kuna mjinga mmoja nilibishana nae sana kuwa Elimu ya Kenya inamapungufu ndio waana hawana Mainjinia wengi kama Tanzania, na hao wachache hawana ubora kutokana na mfumo wao Elimu, pia wana maeneo machache ya kujifunzia kwa vitendo.

Hili Jengo lililobomoka ndio kwanza linajengwa, na ukiangalia Mazingira hakuna hata taratibu za kiusalama wala Kinjinia zimefatwa, angalia, mbao, madirisha na hata wavu kwa ajili ya usalama ulivowekwa.

Tanzania huwezi kukuta upuuzi na utani kama huu...
 
Acha upumbavu wewe,Kwa Nchi za kiafrika Muelekeo wa Rais ndio ndio ushawishi wa wawekezaji,sasa kenge kama wewe unaweza tangaza utalii kwa ushawishi gani ulionao?

Saizi Rais Samia yuko top 5 ya most influential African Women sasa watu watapay attention kwake au kwa Zuchu au wewe?

Kukaa Chamwino ndio kunaleta pesa na maendeleo? Yule Aliyekuwa anazunguka na maconyoy na misururu ya magari mara Chato mara Dom mara Dar alileta nini cha maana zaidi ya kuua Uchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…