Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mama kaua uchumi makusanyo yameshuka kwa nusu sasa wanatumia mbinu za tozo na kuchapa pesa na kukopa
Unajua nini wewe kenge ,utaishia kuambiwa hivyo hivyo,bahati nzuri this time around mataga mumeungana na chadema kuugulia moyo 😁😁.

Hadi ikafike 2030 mtaongea yote, Makusanyo yangeshuka ungekuta miradi imesimama,Madam President sio kama yule mwehu mwendazake aliyeua uchumi akawa anategea mikopo.

Lipa kodi wewe mlizoea vya bure ,this time around havipo.
 
Mataga wanasemaje? Anaupiga mwingi au? 😂😂
 
Hakuna tofauti kati ya Man U and Tanzania, both talk a lot with nothing to show for it. [emoji23][emoji23][emoji23] Wamebaki na historia.
Tulia uone sasa, ni kweli kabisa Man u ni kama Tz, zote zina utajiri wa kutisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu na pesa zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…