Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

binafsi namjua hata kbla ya tukio.. una lingine ?
ulkua mkewe au we ni pumbu lake kilasehemu upo nae?
shughulisha akili wewe...no one is perfect!!
je ulkua unajua anamafunzo ya kimedani? je ulkua unajua aljifunzia wapi kutumia silaha ya kivita ambayo raia haruhusiwi kutumia?
uliwahi kuyajua hayo 👆

vp bado unajinasibu unamjua sana?
 
Post the biggest profit making companies in East Africa here tumalize Huu mjadala. Google the CEOs too tuone wametokea nchi gani.
Geza Ulole since umeshindwa kujibu hili, let me do it for you. Here are the top 11 most profitable companies in East Africa

Company - Country - CEO - Nationality of CEO
  • Safaricom – Kenya – Peter Ndegwa – Kenyan
  • Tanzania Breweries – Tanzania – Philip Redman – British
  • Equity Bank Holdings – Kenya - James Mwangi – Kenyan
  • East African Breweries – Kenya – Jane Karuku – Kenyan
  • KCB – Kenya – Joshua Oigara – Kenyan
  • Vodacom – Tanzania – Hisham Hendi – Egyptian
  • Tanzania Cigarette – Tanzania – Michal Bachan - Polish
  • Co-operative Bank – Kenya – Gedion Muriuki – Kenyan
  • Standard Chartered Bank – Kenya – Kariuki Ngari – Kenyan
  • NMB Bank – Tanzania – Ruth Zaipuna - Tanzanian
  • BAT – Kenya – Crispin Achola – Kenyan

  • Kenyans – 7
  • British – 1
  • Egyptian – 1
  • Polish – 1
  • Tanzanian – 1

Now, what were you saying about Kenyan CEOs making loses again? I hope tumefunga huu mjadala for good.

 
Kwn gaidi lazima asijulikane, jamaa anajua kupiga bunduki vile alafu wewe unamtetea tu bado..
Yani inaonyesha kabisa yule mjomba ana basic training ya bunduki manake kw kuji position kule na kuchapa risasi
Leo upo online chokora kapata chapa ya vocha[emoji1787]
 
mbona una involve kenya kwa vitu havihusu Kenya, we know how to handle our own sh!t and we've got a bunch of em aight?
That was a fucking Drill..
Your browser is not able to display this video.
 
Leo upo online chokora kapata chapa ya vocha[emoji1787]
Kumbe bado unahangaika na kuweka weka bando mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Nunua hata mobile wi-fi mzee unapokwenda mishe mishe zako uwe unatumia
Tafuteni kazi mfanye, nipo long weekend yani tuko pamoja na ma jobless wote wa uswazi kusumbuana monday nirudiane na shughuli zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…