Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww ni takataka na hupaswi kupewa data zozote sababu akili yako ni mafiiii
 
Kakasirika [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hapa vipi?
 
Wapi, JPM kazi yake ilikua kukazia Mkenya sio kuweka Mtanzania otherwise mbona kapewa Mmisri baadala ya Mtanzania baada ya kukazia Mkenya?
ofcourse alimkuta Wakunya hamna historia ya kuongoza makampuni vizuri! over 70% ya kampuni mnaendesha zina-make loss!
 
Aliwau askari wawili then akachukka silaa zao, huyo mwamba inasemekana alikua na pistol tuu
Huyo fala nashuku alitaka kutoa message kwa serikali yenu kuhusu Mozambique,Ivo Ndio walivoanza Kenya,wanajificha kwa watu wanafanya Kazi mpaka kwenye Mabenki but mwisho wa siku one day wanajilipuwa ama wanafanya maovu mengine Kama Haya, Terrorist are just so disgusting
 
Terrorist are fucking animals,Huyo alikuwa tayari kufa ili asend message kwa Alshaabab wenzake,alitaka kukuwa example,Terrorist are fucking meffis😳Hawapendi Amani uku Kenya sijai kanyaga Marsabit Sababu ya Mafala Kama Huyo mjinga
 
Mama mutuiiii hapa shida ni ngani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani huyo mtziii a njungi kuwa muko kwa erectiiii na ukabira iko mingi pande za keja za slum sasa ni wakati wa kutafuta andaki la kufichama wakati wa ereshoo
 
hakuwa gaidi.. acheni ujinga.. huyo jamaa ni mtu poa tu.. mim naona kuna ishu ya dhuluma au kulipa kisasi kwa polisi.. ni mtu wa madini lbda tukio ni sababu ya hio biashara ya madini
we ni mtu mzima unaanzaje kuongea vitu usivyovijua?
upuuzi wa mitandaoni unekupitia na wewe?


niwaombe watanzania wenzangu tutoe taarifa kila unapohisi maisha ya wenzako yapo hatarini! nyoka kaingia chumbani!!

magaidi!>walikua aggressive mwanzo ktk nchi yetu njia ambayo haikuwalipa
magaidi>taratibu wanabadilisha njia kutumia wananchi wenyewe kama wewe kupata uhalali wa mashambulio

serious crime ni nini hivi? inafanyaje kazi?
 
ofcourse alimkuta Wakunya hamna historia ya kuongoza makampuni vizuri! over 70% ya kampuni mnaendesha zina-make loss!
Post the biggest profit making companies in East Africa here tumalize Huu mjadala. Google the CEOs too tuone wametokea nchi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…