Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mwamba ana asili ya bongo kidogo tena atakua mzaramo kweli, mana sio kwa hizo shombo
Nenda kajiangalilie battle mwnywe hko twitter achana na screenshot[emoji1787][emoji1787]
Watu wamekimbia..
Kwanza nyie manjua nini zaidi ya kufungua majukwaa kenyan news
 
Nyie hata huo msuli wa kujaribu hamna
Kaeni pembeni tu jamani, ile siku mtajaribu km nchi(tz) hata kujibiwa sudhani km watajibu.
Aah wapi.! Sisi tunaendanao battle za SGR na BRT na tunaonyesha bila shida, nyie sasa sijui mtashindananao nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, eg, SA BRTπŸ‘‡vs Tz BRTheb Angalia hapo fair comparison.. tena buses zetu ni nzuri kuliko zakwao
 

South Aftica sio ki hivyo. Yes wana barabara nyingi kwenye mijiji na kuingia mijini na miji yao imepangwa vizuri, lakini, ndani ya kiji hiyo, ipo miji ni haina barabara, na ni vijumba vya mabati kama kibera.

Hali ya kimaisha ni hovyo mno na maisha nje ya miji mikubwa kama Pretoria, Johannesburg, Cape Town, Durban.

Ni barabara, industries, sijaona kingine nje ya hapo.

Pia, majengo yso katibu yote ni yakizamani mno, sana.

Mimi naipa Morocco kama nchi bora ki miundombinu.
 
oya, mbogi mkonaapi lakini,.. leo kuna venye teii, maroro, kigode, shash na shisha nimeikuta ki design.. hawa mafala wa tz hawanaga any! vitisho tu. wasije hapa kututishia nn. sisi ndo wale wasee. itabidi wame tii. teii sio maji lakini. hebu tutafutane kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…