Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Au weka miradi kumi ya Kunyaland yenye thamani zaidi alafu mm niweke kumi from Tz ili uone jinsi gani hii thread haina maana yoyote zaidi ya kufarijiana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Au weka miradi kumi ya Kunyaland yenye thamani zaidi alafu mm niweke kumi from Tz ili uone jinsi gani hii thread haina maana yoyote zaidi ya kufarijiana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna haha niweke kumi, lapsset alone is enough to make you cry😂🤣

LAPSSET =$25B.
 
Hakuna haha niweke kumi, lapsset alone is enough to make you cry[emoji23][emoji1787]

LAPSSET =$25B.
Umeamua kuleta mzaha kwenye vitu serious, kudadadeki fanya kama unajikuna uone, unaweka ndoto na cc tukisema tuweke zetu ambazo bado hazijakamilika kama ule wa liquified gas wa $30B ambao mda si mrefu utaanza si mtalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii hapa ngoma, $30B kudaaadeki, kuna mtu bado anaota LAPSSET mradi uliokufa tangu enzi na enzi, ona another multi billion project on pipeline [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Courtesy: Simon
 
Huo uchafu hauvumiliki aiseee, hilo dude si ndiyo hili hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1898638
Mnajenga vitu tulijenga ten years ago🤣😂😂. Hiyo Ni picha ya kitambo hata before rule ya kupaka flyovers rangi ianze. See the current state 😂😂👇👇

 
Wakenya oneni sisi watanzania jinsi fursa zinavyoendelea kufunguka ndani ya nchi ya asali na maziwa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
LAPSSET is an ongoing project while hiyo yenu ya gas bado ni ndoto, hujui hata kama utakufa before ujenzi uanze🤣🤣😂
 

Hivi unajua maana ya bwawa we mpumbavu.? Yani unilinganishie JNHPP kwa hiv vi mifereji.? 😂😂😂 Hiv unajua kwanza Tanzania tuna mabwawa mangapi.? Maandazi wewe.? Et ten years ago mko na mabwawa makubwa 😂😂😂,
 
Keshaanza wivu, nimeku save tayari c unanijua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkiambiwa ukweli mnasema ni wivu😂😂😂, construction ya hiyo project ikianza unitag just the same way nilikuambia ujenzi wa EACOP pia ikianza unitag😂😂🤣
 
Mnajenga vitu tulijenga ten years ago[emoji1787][emoji23][emoji23]. Hiyo Ni picha ya kitambo hata before rule ya kupaka flyovers rangi ianze. See the current state [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

View attachment 1898656
Ya zamani eeehhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Picha za ukweli hamzipendi kabisa, sasa mwenzako alipost hiyo picha akidhani atawatisha watu wewe leo unaikataa, unadhani mwenzio atajisikiaje, hilo apo nimekuwekea likiwa kwenye mwanga na sio gizani kama ulivyoliweka[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi unajua maana ya bwawa we mpumbavu.? Yani unilinganishie JNHPP kwa hiv vi mifereji.? 😂😂😂 Hiv unajua kwanza Tanzania tuna mabwawa mangapi.? Maandazi wewe.? Et ten years ago mko na mabwawa makubwa 😂😂😂,
Wewe hujui maana ya dam nyamaza.
 
Sorry for disappointing you 😂 🤣😂
 
Mm nina akili nyingi sana, nimekuchota umejaa, haya niambie kama ni on going project hiyo $25B umeitoa wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ona venye uko na akili za kijinga🤣🤣, hiyo $25B ni total cost of LAPSSET. Another question?🤣🤣😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…