Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

u r very much welcom. but kaa tu ikijua hawa waTz ni washenzi sana
 
including the presidential security detail.. [emoji38][emoji38][emoji38]
Huku kwetu kila mtu ana haki ya kuwa kongozi bila kujali umri gender dini au kabila Tz is a free country unlike other countries some of which i dont want to mention ambazo zimekuwa held hostage na old corrupt politicians and tribal chiefdoms
 
tu ndo nime land kisumu sasahivi. acha nta piga photo miradi zote underconstruction kisumu, kavile the ongoing New Kisumu Inland Port, 2021AfroCity Conference Centre, and so on
 
Na kufa njaa kila mwaka wakenya zaidi ya 20k wanakufa njaa, 1 million Malnutrition, 13 million going to bed hungry ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ


Inasikitisha ila ndo hivyo hawa jombi wabishi kweli wanafurahia kuuza maparachichi njee eti wanaongoza ilhali wenzao wanakufa na njaa, kazi yao kutumia fertile lands kupanda maua tuu wakati msosi nchini mwao hautoshelezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ