Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ya huku tuachie wenyewe baki na nchi lako bovu, mark my words 2022 mnaletewa dege mdandie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muulize Mama Ngina aliyehodhi 3/4 ya arable land ya Kunyaland akawaacha mgombanie mashamba ya urithi ushagoo, yn shamba moja mpo 100 no wonder mnaishi kwa slums pale Naipori [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shamba la mama Ngina lipo upande gani Kenya? 🤣 🤣
 
ukiwauliza ni kipi cha maana kilichowafanya waezeke huo uchafu hapo juu ,hawana reason za msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ukiwauliza ni kipi cha maana kilichowafanya waezeke huo uchafu hapo juu ,hawana reason za msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakuambia tunnel, sasa sijui tunnel gani lipo sehemu tambarare hakuna barrier yoyote iliyofanya waezeke mabati juu, tunnel lina mabati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna anayepinga na hii link uliopost ni effects za corona ambazo kila nchi inapitia ata sisi bongo tunapitia alafu ni kama ukunielewa pointi yangu
 
Eti tunnel, yani tunnel linagongwa na probox linabutuka ushawahi kusikia wapi msamiati huo, wajinga sana hawa watu, na hawaoni aibu utakuta wanapost mitandaoni wanakwambia "the only country in EA to have a road with tunnel" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna anayepinga na hii link uliopost ni effects za corona ambazo kila nchi inapitia ata sisi bongo tunapitia alafu ni kama ukunielewa pointi yangu
For bongolalas, you have to tell them what they want to hear. Ambia tu Geuza chenye anataka kusikia mtaelewana.
 
HAjielewi yule labda alikua mfanyakazi hewa serikalini
 
For bongolalas, you have to tell them what they want to hear. Ambia tu Geuza chenye anataka kusikia mtaelewana.
Post tunnel ukalale mambo ya watanzania waachie Watz wenyewe wanajuana, wanafokeana lkn huwezi kuta amani imeharibika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…